kwanini iwe congo RDC wakati wao wanajiita m23 congo drc?. mia
Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.
Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h @ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto
Expand
Inabidi tuwe makini, haya majamaa yanaweza kutugea kitu inayouma..
Hilo liko wazi, serikali ya mjini kigali.>Hatuna wasiwasi nao, ila inaonesha kunamahala wanapata kibuli.
Hilo liko wazi, serikali ya mjini kigali.
Mkuu usichanganye mambo, huyo uliyecheki profile yake, anaitwa Jean Vianey Marie Kazarama, ndiye msemaji mkuu wa m23, hiyo FARDC ni miongoni tu mwa makundi yaliyounda m23, kwa hivyo vitisho vinatoka march 23 (m23) moja kwa moja na wala sio kwingineko.huyu anatoa vitisho ukiangalia tweets zake zote inaonyesha kama ni wa FARDC na sio M23 Kazarama Vianey | LinkedIn
Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.
Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h @ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto
Expand
>Ni lazima wautambue msimamo na uwezo wetu.
>japokuwa wanaweza kuwa ni mataifa yanayönufaika kupitia uasi wa m23 ndani ya Kongo ndio wanaotutisha ili waendelee kunufaika.
>NI LAZIMA TUENDE LAKINI NI LAZIMA TUKAWE MAKINI.
>Nimeona wakimuandikia mh.Benard Membe vitisho vya kitoto eti
"TUNASUBIRI IYO SCOUT YENU, MBONA MNACHELEWA KUJA?"
>Ni kwanini wawe na hofu kwa jeshi (wao wanaita $out) la Tanzania pekee ikiwa ni nchi nyingi zinapeleka wanajeshi wao?
Tena hata Afrika Kusini waliojuu kiuchumi wanapeleka majeshi Congo.
Kwanini iwe sisi na si wengne?
>au ni kwasababu A.kusini na nchi zingine wameonekana kushindwa kuleta amani kila wanakokwenda tofauti na sisi?
WALA WASITUTISHIE NYAU.