zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 639
- 1,182
Naichukia Rwanda, M23 ,Kagame na watusi wote Dunia.Hilo ni jeshi vamizi la Rwanda linalojiita M23.
Rwanda inajitahidi ili hao SADC hawajaingia kupigana confrontational war na Waasi ila ni kikosi kidogo tu cha SADC kinacholisaidia jeshi la Drc kuzuia waasi kutosonga mbele zaidi.Naichukia Rwanda, M23 ,Kagame na watusi wote Dunia.
Swali la msingi la kujiuliza hata kama kweli M23 wanasaidiwa na Rwanda Sasa inakuwaje Muungano wa SADC,DRC,Burundi,Wazalendo, Wegner,FDLR,MONUSCO na makundi mengine karibu 10 wanapambaa !akini bado m23 inayo saidiwa na kanchi kadogo Rwanda bado inawachachafya vibaya.
Kama mapigano yakisimamishwa leo itakuwa aibu sana Kwa SADEC kupigwa na. Rwanda.
Chukulia mfano hata wa msumbiji. Wakati SADEC wakikusanyana kuunganisha nguvu, ye Rwanda aliingia vitani Msumbiji man alone na ndani ya wiki Moja alifanikiwa kuteka ngome ya waasi waliokuwa hatari na wamesumbua muda. mrefu.
SADEC wanaingia Msumbiji wanakuta tayari Rwanda tayari ameshapata matokeo na ushindi mkubwa dhidi ya maadui.
Tuache ushabiki, ila tukubali tu kwamba ukanda huu wa kati na kusini mwa Afrika Rwanda Ina jeshi dogo ila bora lenye umoja,muunganiko,silaha za kisasa na maarifa ya upiganaji katika mazingira youote.
SADEC wanakazi ya ziada Ili waweze kumshinda Rwanda, na yawezeka na muda Kwa Sasa sio rafiki labda miaka ya mbele baada ya kujipanga sana
Mbona kama umepaniki sana? Cool down. Ongea taratibu tu jamaa atakusikia. But pia si unapaswa kukubali kuwa watu wana uhuru wa kuchagua wapendacho.Wacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.
Wanalinda migodi ya Mabwana wakubwa wa NATO ili vita isiharibu migodi kama kuharibu ikaharibu hukooo kwa watu na mashambaJeshi la SADC lipo vitani au bado?
Wanaume wanawasubiri hao nduli wajipange halafu wawashushie kitu kizito na ndipo watajua walikuwa hawajuiHakuna kukaa nao dawa ni kuwachapa hawa mbwa. Hapo bado wanapambana na jesh la Congo subiri wanaume waingie kazin utasikia kilio
kwamb yeye ndo anapigana ?Tshekedi ni Pumpkin aisee.
kwan wao wa Gaza wana guswa na yenu ya Afrika huku ? jitambue basWacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.
lin waarab waliwaonea huruma ? ww mtu mweusi bado akili ipo utumwaniUtakuta mtu anafurahia watu kuuwawa gaza ila anaumia wakongo kweli dini pazia jeusi machoni kwa mwafrika hasa mtz
mshaanza leta migawanyiko , baadae mtaanza,wasingizia mabeberu kwa kushindwa kwenuHaongelei Ukraine saa hizi kahamia M23.
Kwa sababu wakenya walishindwa anadhani SADC nao watashindwa.
mtu mweusi sijui nan kakuloga , unawaza mipasuko ya kijamii muda woteJeshi lao la kenya lilifukuzwa kule na tshisekedi so baada ya kushindwa kufanya kilichowapeleka wakawa kazi yao kujipiga picha na kupost kwenye social media,so huyo mkenya anavyotaka majeshi mengine yashindwe pia
Vita ni vita na inapiganwa kadiri ya uwezo na nguvu Ili kumshinda adui. Unafikiri Congo na washirika wake hawapendi kumsogeza nyuma m23 na kuteka ma eneo makubwa zaidi anayoyamiliki?Rwanda inajitahidi ili hao SADC hawajaingia kupigana confrontational war na Waasi ila ni kikosi kidogo tu cha SADC kinacholisaidia jeshi la Drc kuzuia waasi kutosonga mbele zaidi.
Isitoshe hao SADC hawajaweka zana zao zote za kivita wala kutumia uwezo wao wote walionao ila ni kama 'supporting role tu' yaani kutoa usaidizi tu japo wanapigana pia.
Hapo Kuna mgawanyiko upi?mshaanza leta migawanyiko , baadae mtaanza,wasingizia mabeberu kwa kushindwa kwenu
Wacha unafiki wewe mhutuKule ni waarabu wanachokoza Wayahudi na kujificha nyuma ya watoto, wapigwe sana tu.
Huku ni ndugu zangu waafrika ambao hawajamchokoza mtu hawana uzombi wa dini ya mwarabu, wanakutwa kwenye mashamba yao na kufukuzwa.
Sijui mnapata ilmu gani nyie na mikanzu yenu.
Mtakaaje meza Moja na magaidi?Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================
The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.
Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
M23 rebels seize town in eastern Congo, killing at least 15
M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks.www.theeastafrican.co.ke
We bwege uliwatuma hamas Oktoba 7 kwenda kuwaua Waisraeli? Wacha wapate walichokitafuta wenyewe. Waisraeli siyo watu? Hizo dini ni utumwa wa milele kwa mwafrikaWacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.
Ajabu ni yule anayeumia kwa yanayoendelea Gaza na asitake hata kujua kinachoendelea Kongo, Msumbiji, Somalia, Nigeria.Utakuta mtu anafurahia watu kuuwawa gaza ila anaumia wakongo kweli dini pazia jeusi machoni kwa mwafrika hasa mtz
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================
The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.
Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
M23 rebels seize town in eastern Congo, killing at least 15
M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks.www.theeastafrican.co.ke
Kwa binadamu yeyote mwenye moyo w kibinadamu ukiona taabu wanayopata Wakongomani lazima moyo ukose amani.Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.