M23 ndani ya Uganda kwa ajili ya mazungumzo ya Amani

bmalale

Senior Member
Mar 30, 2011
466
24
KAMPALA- Democratic Republic of Congo's M23 rebels said Monday they were waiting for a government delegation to arrive to resume peace talks, in line with an ultimatum set by regional leaders.

Leaders of Africa's Great Lakes region on Thursday set a three-day deadline for the resumption of talks between the M23 army mutineers and Kinshasa aimed to broker an end to a recent upsurge in fighting in the resource-rich east of DR Congo.

The talks, to be held once again in the Ugandan capital Kampala, should be concluded within 14 days.

"All our delegation members are here," M23 delegation chief Rene Abandi told AFP Monday. "We are waiting for the arrival of the government side and we resume the talks."

Talks between the two sides were suspended in May, and the agreement to reopen them follows a recent upsurge in violence in the country, where Congolese troops backed by a special United Nations force launched a fresh assault against the rebels late last month.

Previous rounds of talks were repeatedly delayed, and it was not clear if talks would actually begin Monday.

However, both sides have committed to restarting the slow moving talks.

"We want peace talks and we are ready for them," Abandi said.

Officials in the office of the Ugandan mediator, defence minister Crispus Kiyonga, said they were expecting the imminent arrival of Kinshasha's team, but could not say when talks would actually begin.

THE EAST AFRICA TIMES
 
Baada ya ngumi za uso nilijua lazima mje ktk meza ya mazungumzo haraka!:A S wink:

Hakuna ngumi za uso,yani wewe hata hujui kilichotokea goma,DRC ndio walitoka katika mazungumzo kampala wakifikiri watatumia vita,lakini waliambulia kichapo toka kwa M23,unahabari katika siku kumi za mapigano walikufa askari 6000,majeruhi 800,na mateka 120 wa DRC,na DRC walikua wameapa kwamba hawatarudi kwa mazungumuzo,mimi na patia ushindi M23,Kwani wao walihitaji maongezi zaidi ya vita.
 
Mkuu Kamanda alisema usitoe habari za Jeshi hadi mwenyewe aseme..... utaundiwa Zengwe upelekwe front line! kama nanihii
 
duh hta sisi tuloona hii post?mamaaaaaaaaaaaaaa tumekwisha...afande afande mi sijaona hii post computer yangu inatumia audio tu.....
 
Hakuna ngumi za uso,yani wewe hata hujui kilichotokea goma,DRC ndio walitoka katika mazungumzo kampala wakifikiri watatumia vita,lakini waliambulia kichapo toka kwa M23,unahabari katika siku kumi za mapigano walikufa askari 6000,majeruhi 800,na mateka 120 wa DRC,na DRC walikua wameapa kwamba hawatarudi kwa mazungumuzo,mimi na patia ushindi M23,Kwani wao walihitaji maongezi zaidi ya vita.

mkuu wa BBC idara ya maziwa makuu alihojiwa aeleze kwa nini M23 wamekubali mazungumzo fasta akasema ni kichapo kikubwa walichopata hivi karibuni....wewe unapata wapi taarifa za kupigwa kwa wakongo
 
Hakuna ngumi za uso,yani wewe hata hujui kilichotokea goma,DRC ndio walitoka katika mazungumzo kampala wakifikiri watatumia vita,lakini waliambulia kichapo toka kwa M23,unahabari katika siku kumi za mapigano walikufa askari 6000,majeruhi 800,na mateka 120 wa DRC,na DRC walikua wameapa kwamba hawatarudi kwa mazungumuzo,mimi na patia ushindi M23,Kwani wao walihitaji maongezi zaidi ya vita.
acha ulongo wewe, labda ukawadanganye wanywa matapu tapu!
 
Hakuna ngumi za uso,yani wewe hata hujui kilichotokea goma,DRC ndio walitoka katika mazungumzo kampala wakifikiri watatumia vita,lakini waliambulia kichapo toka kwa M23,unahabari katika siku kumi za mapigano walikufa askari 6000,majeruhi 800,na mateka 120 wa DRC,na DRC walikua wameapa kwamba hawatarudi kwa mazungumuzo,mimi na patia ushindi M23,Kwani wao walihitaji maongezi zaidi ya vita.

Nyinyi ni jamii mbovu kabisa mnashabikia propaganda za vifo?. Ni kizazi kibovu ukanda huu.
 
Hakuna cha Mazungumzo kwa hao wahuni. Ndio maana JWTZ na S.Afrika wapo DRC. Mazungumzo yaende kwa mwendo wa mtutu tu.
 
kizazi cha lucifer

Uraia wa nchi za watu wanaung'ang'ania kwa machozi na propaganda tele za kutafuta huruma.
Alafu tena, wanashabikia kwa furaha taarifa za propaganda za vifo vya nchi hizo.
Kwa tabia na mwenendo huu, wanastahili tena mateso yaliyo wakuta 1994.
 
Hakuna ngumi za uso,yani wewe hata hujui kilichotokea goma,DRC ndio walitoka katika mazungumzo kampala wakifikiri watatumia vita,lakini waliambulia kichapo toka kwa M23,unahabari katika siku kumi za mapigano walikufa askari 6000,majeruhi 800,na mateka 120 wa DRC,na DRC walikua wameapa kwamba hawatarudi kwa mazungumuzo,mimi na patia ushindi M23,Kwani wao walihitaji maongezi zaidi ya vita.
We MK hivi unajua askari 6000 ni brigendi ngapi???? Kwani M23 waliwakuta jeshi la DRC likiwa kwenye picnic huku silaha zao wamezifungia kwenye ghala!!! Mambo mengine unazidisha chumvi mkuu MK.
 
Hakuna ngumi za uso,yani wewe hata hujui kilichotokea goma,DRC ndio walitoka katika mazungumzo kampala wakifikiri watatumia vita,lakini waliambulia kichapo toka kwa M23,unahabari katika siku kumi za mapigano walikufa askari 6000,majeruhi 800,na mateka 120 wa DRC,na DRC walikua wameapa kwamba hawatarudi kwa mazungumuzo,mimi na patia ushindi M23,Kwani wao walihitaji maongezi zaidi ya vita.
sijawahi ona vita waliokufa wanazidi majeruhi!!
 
Nyinyi ni jamii mbovu kabisa mnashabikia propaganda za vifo?. Ni kizazi kibovu ukanda huu.

Poleni sana munapenda vita wakati hamuiwezi,M23 inawaomba kwenda kwenye mazungumuzo nyie eti vita,sasa nani anapenda vitaacha jk na zuma wamdanganye kabila,vita haita maliza tatizo la kivu,ni mazungumuzo tu, bilahivyo mjiandae vilio na majeneza.
 
Back
Top Bottom