Mkuu mpaka sasa hivi huwa sielewi mantiki ya kufanya nchi ya Uganda ndio ifanye kazi ya kuwa wasuruhishi kati ya M23 na Serikali ya DRC, kwani Dunia haijui conflict of interest ya Uganda na mgogoro ndani ya DRC, nani alipendekeza Uganda kusimamia usuruhishi huu batiri. Kwa nini Serikali ya Uganda au M7 asishitakiwe kwa kuwa-support wauuaji wakubwa i.e M23, wakitaka kupata ushihidi wa kumburuza mahakama ya the Hague M7, wachunguze Silaha nzito walizo zikuta kwenya mahandaki yaliyo kuwa yanatumiwa na M23 wangalie nameplate ili wajue zilinunuliwa wapi na ni nchi gani ilizinunua - huo ndio utakuwa ushahidi tosha wa kumunganisha M7 kwenye war CRIMES, amekwisha chosha Dunia na uzabazabina wake, Dunia ikae ikijua M7 hana nia thabiti ya kutaka kumaliza mgogoro ndani ya DRC ndio maana anawag'ang'ania wapiganaji wa M23 na kamanda wao anataka kuwatumia kama bargain chip ya kutaka kuendeleza vurugu zake ndani ya Serikali ya Kinshasa, nia yake ni kutaka kuplant mastooge/waasi katika Serikali ya Kinshasa ili Kabila ashindwe kuendesha nchi yake bila ya migogoro hisiyo ya lazima - Kabila anapashwa kuwa makini na mbinu za M7 na M23, M7 hawezi kuwa amewapokea na kuwahifadhi waasi hao wa M23 nchni Uganda bila ya sababu ya msingi. M7 ndie anawapa kiburi M23 kwa kuwashauri walete madai yasiyo na kichwa wala miguu huku akijua wazi wazi kwamba M23 imeshindwa vita na hakuna ulazima wowote Serikali ya Kinshasa kuangahika ku-deal na watu wauuji walio shindwa vita, sana sana kinacho itajika kufanyika ni wanajeshi wa vyeo vya chini wa M23 wawe-demobilised waombe msamaha alafu wapewe majembe wakalime nchini mwao Kongo kama kweli ni Wakongoman, makomanda wao wa vyeo vya ngazi za juu washtakiwe as WAR criminals - jamaa hawa si wa kuonea huruma hata kidogo. M7 akileta mambo yake ya kutaka watu wasielewane ili apate kisingizio cha kuendeleza mgogoro ndani ya DRC kwa kuwa-support tena waasi wa M23 au kundi lolote lile, basi International Community itafute mbinu za kumuhunganisha kwenye mashtaka ya waarifu wa VITA, si ushahidi hupo.