Hivi ni kwanini Wakristo wakipigana dhidi ya serikali wanaitwa WAASI na Waislamu wakipigana dhidi ya serikali wanaitwa MAGAIDI? hawa ni M23
Nalog off
Hapo nilipoweka rangi nyekundu kumbe wote wanamsifu Mungu kwa lugha tofauti,hao wanasema kiarabu na hao wengine wanasema kiswahili.Sasa hivi nchini Msumbiji kuna mapigano kati ya Renamo na Frelimo lakini sijawahi kusikia wakitamka maneno hayo baada ya mashambulizi yao.
Nalog off
Nimekuelewa kiongozi.M23 hata siku moja hawajawahi kujitambulisha kuwa ni Wakristo. Ni kikundi cha watu wanaoona wanaonewa na ni wa dini mbalimbali na wanaamua kupigania haki yao bila kujali dini tofauti ya dini zao. Hii ni tofauti kabisa na Al qaida , Boko haram, Al shabab ambao wanajitambulisha kuwa ni waislam na wanapigania dini ya mungu wao japokuwa kuna utata kama kweli kuna mungu anayestahili kuitwa mungu anayeafiki vitendo vyao. Mbinu za kivita ndizo zinazotofautisha ugaidi na vita vingine.
sasa si ndio wazuri?Wakibongo walaini sana...
hapana hawajafanya hivyo.M23 ni wakristu? I mean wamejipambanua kwa dini?
NImekuelewa mkuu.Tafsiri ya uasi na ugaidi inategema na kamusi ya sera za ulinzi na mambo ya nje ya Marekani na Ulaya.China nayo imejumuika kutumia neno gaidi kwa raia wake,
Hayo ni mawazo yako na pia ninayaheshimu sina nguvu za kukushawishi vinginevyo.Na kwa kuwa JF sio ya baba yako basi mi nitaendelea kuwepo tu humu ndani.We jamaa ni mdini na unapenda kuendekeza chokochoko za udini nimekufalitia muda mrefu humu JF hata maudhui ya mada yako hii yajihirisha kuna udini ndani yake prove me wrong.
Ungekua unania ya kutaka kujifunza ungeishia nini tofauti kati ya UGAIDI na UASI ila kwa kuwa we ni mtu wa kupenda chokochoko za udini ndio maana haya mambo unayahusisha na UISLAM na UKRISTO
ni bora uendelee kulogoff moja kwa moja husirudi JF mpaka ujifunze kuwa JF sio jukwaa la mifalakano ya kidini
Nashukuru kwa kunifahamisha mkuu.Hapo hakuna ukristo au uislamu. Hao ni rebels wa kitusi ambao hawana haki ya hata kuanza mapigano ndani ya kongo. Warudi kwao rwanda wakapigane na kagame wawaache wakongo waishi salama katika nchi yao. Mimi ningekuwa Joseph Kabila ningeanzisha operesheni ya kuondoa wageni wote walioko Kongo bila kufuata taratibu "Operesheni Kimbunga". Nalipongeza Jeshi letu kwa kuwaondoa wauaji wa kitusi. Wala sio waasi hao ni wauaji tu!! Fuatilia habari za hivyo vita utagundua wanaopigana na kuua raia si wakongo ni wageni kutoka rwanda na uganda ndiyo maana wanakimbilia huko baada ya kuzidiwa na jeshi letu. Bravo JWTZ!!!
hahahaha mie sijakasirika bana! ila nakubali nilikurupa kwa kusoma vibaya hapo kwenye"HUTASIKIA" nilichukulia kama UTASIKIA.By MFUKUZI
kama lengo lako ni kujua utulie ufahamishwe! Sio unauliza huku una majibu yako mfukuno!!. In fact sipendi kuzungumzia sana dini lakini kwa kuwa umeamua kutenganisha wapiganaji hawa kwa mlengo wa dini nitakujibu kwa mujibu wa dini!!
Vikundi vya kigaidi kama, Alshabaab, Al qeada, boko haram, tamir tigers nk mapigano yao hayana formula na hayana malengo ya kupindua na kuchukua uongozi wa nchi na vyote hivi wanapolipua, wanapoua watu utasikia wakishuhudia 1"Alah akbal au takbirrr!!!" Hapo huhitaji kuwa na digrii kujua ni vikundi vya dini gani?
Waasi!! M23, Banyamulenge, (SWAPO, UNITA, ANC, FRELIMO NA RENAMO enzi ya kupigania uhuru) Hivi vinaitwa vikundi vya waasi kwa sababu lengo lao kuu ni kupigana na Serikali iliyopo madarakani kwa lengo kuchukua DOLA. Ila tofauti kubwa ni kwamba hivi hutasikia 2.BWANA YESU asifiwe au YEHOVA tumaini letu...
Kiufupi, Uislam ni kama umetekwa nyara na hivi vikundi vya kihuni, mbaya zaidi jinsi ya kujinasua ni ndoto ya mchana.... tuendelee kuwaombea tu.
ukiitwa kilaza unakasirika...unaharaka ya nini ..soma ukiwa umetulia au una lako jambo..anzia kusoma kwenye green ya quote ya [MFUKUZI]
sasa si ndio wazuri?
Nalog off
Halafu unachanganya naye damu,santee hilo ni bonge la wazo.Nitakaa chini na mke wangu,nimuombe ridhaa tuchukue ka em twenti thrii kamoja ka kike kwa ulinzi na usalama wa nyumba yetu!