Hapo sasa....ukisema M-PESA ipo down anakwambia nirushie kwa Tigo-PESA! Hapa ndio umuhimu wa kuwa na line moja tu unapokuja...Lolz!ha haa utaikwepa hadi lini?????
Kama ilivyo matumizi ya simu yalivyo badili mahusiano
sasa kuna hili la matumizi ya kutumiana pesa kwa njia ya simu
m-pesa,tigo-pesa..airtel money,z pesa na kadhalika.......
je unafikiri mahusiano yame athirika kwa kiasi gani sasa?????
nini kimeongezeka zaidi?faida? au hasara??????
kwa uzoefu wangu wanaume wengi 'wanaona hii teknolojia' imewasaidia wanawake
zaidi since wanaume ndo 'main provider' kwa sehemu kubwa ya jamii....
imekuwa rahisi 'kuchunwa' kwa kupigiwa tu simu na kutakiwa utume pesa....
na wengine wanaona now ni rahisi hata 'kumzidi mtu' maarifa kwa njia hii
na wengine wanaona 'utapeli' wa mapenzi na 'wizi' umerahisishwa......
je wewe waonaje ?
uzoefu wako ukoje kwa hili????????
mimi nilishakula vichwa vingi saaaana kwa njia hii
ujue inakuwaje
cheki hii
mpesa man: upo smile
smile :nipo my dear
mpesa man:ushakula baby wangu
smile fix: nimefulia dia leo sili
mpesa man:mmmh baby wangu usile na mimi nipo nikufate?
smile: hapana boss yupo siruhusiwi kutoka leo
mpesaman: basi nakutumia hela kidogo ya lunch.
smile:usjali dear usijitese nipo ok
mpesa man:nimekutumia laki moja dear laki si pesa mbonaa?
smile:mmmh thax anyway bye dia
idumu milele huduma ya mpesa na tigo pesa
TB, umenikumbusha aisee, ngoja nimpige mzinga mtu manake anajidai alipo hamna bank,lol!
Note: CRDB ndo wameharibu mambo kabisaa! Ukijisajili mobile banking, unahamisha hela kutoka kwenye account yako kuingia m-pesa ama airtel money and vice versa. So kama huna hela kwenye m-pesa unahamisha from ur account, huna pa kuchomokea baba, nifanyie kale kazawadi kangu ka xmas basi,lol
nadhani nyie wenyewe huwa mkiwa na salio zinawawasha mnapenda kuzigawa gawa so mlitaka tukatae?huu ni ujumbe kwa wanaume
tugome kujiandikisha m pesa na tigo pesa
mimi siku zote hujibu 'bado sija register' niki register nitakutumia lol
Ukikitumia kitu vibaya lazima upate athari zake....btw Boss naomba umwambie Lily Flower hapo chini namsalimia sana..muulize kama ana M PESA nimtumie hela ya kununua mchicha nasikia siku hizi umepanda bei fungu linauzwa buku...