M-PESA & Tigo-PESA Integration

Halafu mkiibiwa idea mnalalamika wakat wenyewe mmeanza kutangaza kitu wakat hakijawa developed
 
Kwak kweli sijui kama kuna watu wamefanya hii intergration ya hii mitandao labda wale jovago nafikiri. Nimejaribu kutafuta ecommerce website yenye kutumia huu mfumo lakini sijapata kitu
 
Halafu mkiibiwa idea mnalalamika wakat wenyewe mmeanza kutangaza kitu wakat hakijawa developed
Hamna idea yeyote iliyokuwa disclosed hapa.

Kwenye ulimwengu wa IT hakuna siri kiasi hicho. Ukiwa msiri sana hutopata nafasi ya kujifunza kutoka kwa wengine.
 

https://www.tigo.co.tz/tigo-pesa-for-developers
 
Kwa mm nilivyomwelewa anataka API ya online payment kwa ajiri ya system yake.
 
Binafsi sijakuelewa unachohitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…