ABIBU CHENGULA
Senior Member
- Oct 15, 2017
- 162
- 102
Toeni elimu kwa Wateja juu ya utumaji wa pesa kwa ndg zao Wateja wengi huenda kwa Wakala na kukabidhi pesa na namba anakotuma,mawakala munawapa elimu ya asitume direct pesa endapo Wakala atatuma direct pesa kuna kiasi cha pesa atakatwa sehemu ya kamisheni yake kwa mwezi kulingana na fungu la pesa iliyotumwa direct,hivo toeni elimu pande zote mteja aelewe au lusuni kutuma pesa direct akatwe mteja mwenyewe na mie nilipwe bila kukatwa. MITANDAO NAWASILISHA