Ndiyo maana amesema we are not perfectNadhani huwa unapata Ujumbe kuwa Hakikisha Namba Kabla ya kutuma Fedha zako, Makosa ni yako hapo sio yao!
sasa hatakiwi kusema M-pesa sio salama!Ndiyo maana amesema we are not perfect
Vipi kama ela inatakiwa itolewe haraka kama vile kumuwashia dawa mgonjwa n.kKunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
Siyo salama kwa sababu hakuna mechanism ya kuhakikisha usalama wa hela ya mteja. Huyu mtenja ndiye anayeifanya MPESA iwe MPESA. Na kama hutamjali akaogopa kuitumia huduma lazima mpesa itayumbasasa hatakiwi kusema M-pesa sio salama!
kama amekosea kutuma mpesa na imetolewa Mpesa wafanye nini?Siyo salama kwa sababu hakuna mechanism ya kuhakikisha usalama wa hela ya mteja. Huyu mtenja ndiye anayeifanya MPESA iwe MPESA. Na kama hutamjali akaogopa kuitumia huduma lazima mpesa itayumba
Vipi kama ela inatakiwa itolewe haraka kama vile kumuwashia dawa mgonjwa n.k
Mwambie achukue walau ten percent ili isiwe total loss hahaUnampigia mwizi wa hela anakwambia utaniachia kiasi gani
Wewe ulishatumia paypal kununua bidhaa nje kokote duniani na ukatuma hela na muuzaji akaingia mitini? paypal wanakuwa responsible kumtafuta mwizi na hela zako unarudishiwakama amekosea kutuma mpesa na imetolewa Mpesa wafanye nini?
Hapa nadhani ndo mahali pa kuwa makini kabla huja confirm hiyo transaction yako.Nadhani huwa unapata Ujumbe kuwa Hakikisha Namba Kabla ya kutuma Fedha zako, Makosa ni yako hapo sio yao!