M-PESA si sehem salama kutunza hela yako

Usitunze pesa kwenye mifumo ya simu, utapigwa, tumia mitandao kutuma pesa au kupokea tu, komba pesa yako weka kwenye mtungi chini ya kitanda!
 
Hawa jamaa ni kweli wanaelekea kwenye utapeli, nilikosea kutuma 1.5ml wakaniambia itarudi baada ya siku 4,hivi mpaka siku nne hiyo hela huwa wanaifanyia nini?
 
Mkuu wafanya kazi wa makapuni mengi hufanya hvyo, kuna mama wa dada mmoja tinafanya kazi wote baada ya kustaf alikuwa anataka kutapeliwa na mfànya kazi wa mfuko wa hifadhi ya jamiii husika
Nadhani hawa wenye makampuni inabidi wawe makini wakiwa wanawatoa watu kwenye makampuni
 
Back
Top Bottom