Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
nimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
Yani Vodacom nalo ni Jipu. Daaah mie nimeambiwa Massa 72 Mkuu mpaka Leo haijashughulikiwa ImagineSinto sahau siku ambayo nilikuwa safari huku nikitegemea pesa kwenye m Mpesa, nilipojaribu kutoa pesa nikapata Ujumbe kuwa account yangu ina tatizo hivyo nipige Simu namba 100 kupata msaada Na nilipopiga nikaambiwa nisubiri ndani ya masaa 72 hivi unazani nikuwa katika hali gani ukizingatia sina hata mia mfukoni🙁🙁
wanayo mkuu halotelnimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
Pole sana Mrembonimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
hhhhahhaaaaaa!!pole sana!!nimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
Ukitaka kudhalilika jifanye unategemea Pesa za kwenye Simu ujue lazima uaibike,hacha kabisa weka pesa bank zenye kutumia Visa Card maana utakuwa na option za kutosha za kutoa pesa yako bila tatizonimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
Asilimia 90 ya hao wanaofanya kazi kwenye hizo call center hawana uzoefu wala uelewa wa kazi yao. Usishangae ukapokelewa simu yako na wahudumu watatu tofauti na kila mmoja akakupa jibu lake analolijiua yeye. Ukitaka wakujibu haraka tuma email kwa helpdesk yao, hapo watajibu haraka maana zinasomwa mpaka na wakubwa zaoNimekaribia kuwa kichaa, na mpaka muda huu nina stress . kila nikipiga mpesa customer care napata majibu tata sana, mwisho juzi aliyepokea simu akanijibu wao hawana tatizo mie niliyekosea ndo mwenye tatizo sasa nashinwdwa kujua ni adhabu ama nini sitakaa nitumie huduma za M-PESA milele baada ya kurejeshewa huu muamala ambao niliukosea tangu ijumaa YA TAREHE 1.7.2016 wao walisema nitarejeshewa masaa 72 mpaka dakika =hii naandika hakuna kitu naona meseji za droo za sijui milion 100 dah
bad enought hawa wahudumu wanaopokea simu hakuna anayekupa jibu linaloeleweka, plus simu zao hazipokelewi kwa wakati ni huduma mbaya kuliko zote za kifedha hapa tanzania i will never ever use their servises never
wakirudisha muamala wangu natamani na huo upande wa mpesa waufunge nonesense
THATS WHAT HAPPENED NIMELOG CALL ZAID YA 15 WACHACHE SANA WAMEJIBU KIASI KIDIGO SANA KWA UELEWA, THE REST HATA HAWAJUI LOLOTE ZAIDI YA KUWA NI SAA 72 .. BASI UKIMUULIZA SWALI LINGINE HAELEWI WALA HAJUI KINACHOENDELEA MPAKA NIMEPATA AIBU .... MAJIBU YALIYOAMBATANA NA NENO SIJUI,LABDA NAFIKIRI NI UTAAHIRA SASA KAMA WEWE HUJUI HUNA UHAKIKA ............ UKO HAPO CALL CENTER KWA NINI? WAKATI MWINGINE HUWA NAHISI NI WALE WALINZI WANAJIBU SIMU MAAANA IMEKUWA KAWAIDA KUHUDUMIWA NA MAJAMAA WA SECURITY COMPANIES.Asilimia 90 ya hao wanaofanya kazi kwenye hizo call center hawana uzoefu wala uelewa wa kazi yao. Usishangae ukapokelewa simu yako na wahudumu watatu tofauti na kila mmoja akakupa jibu lake analolijiua yeye. Ukitaka wakujibu haraka tuma email kwa helpdesk yao, hapo watajibu haraka maana zinasomwa mpaka na wakubwa zao
Please naomba email yao ya help deskAsilimia 90 ya hao wanaofanya kazi kwenye hizo call center hawana uzoefu wala uelewa wa kazi yao. Usishangae ukapokelewa simu yako na wahudumu watatu tofauti na kila mmoja akakupa jibu lake analolijiua yeye. Ukitaka wakujibu haraka tuma email kwa helpdesk yao, hapo watajibu haraka maana zinasomwa mpaka na wakubwa zao
kwakweli tunaomba email yao mkuu ngoja nizame twitter now now niwa textPlease naomba email yao ya help desk
Halo tel wako vizuri sana sijui labda wabadilike kadri siku zinavyokwendanimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
Nimateso makubwa mkuuSinto sahau siku ambayo nilikuwa safari huku nikitegemea pesa kwenye m Mpesa, nilipojaribu kutoa pesa nikapata Ujumbe kuwa account yangu ina tatizo hivyo nipige Simu namba 100 kupata msaada Na nilipopiga nikaambiwa nisubiri ndani ya masaa 72 hivi unazani nikuwa katika hali gani ukizingatia sina hata mia mfukoni🙁🙁