Igangilonga
Senior Member
- Mar 11, 2006
- 133
- 27
Mara kadhaa nimekuwa nikitaka kutumia huduma aidha ya m-pesa au tigo-pesa nashindwa kufanikiwa au inachukua muda sana, ukiwauliza wahusika wanasema 'mtandao upo down'..... hivi sababu ya mitandao hiyo kuwa down most of the times ni nini? Naombeni maelekezo wajuzi wa jambo hilo becoz I am in dilemma na naathirika sn becoz mimi ni mtumiaji mzuri sn wa huduma hizi.