M-pesa na tigo-pesa kunani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M-pesa na tigo-pesa kunani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Igangilonga, Jul 5, 2011.

 1. I

  Igangilonga Senior Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mara kadhaa nimekuwa nikitaka kutumia huduma aidha ya m-pesa au tigo-pesa nashindwa kufanikiwa au inachukua muda sana, ukiwauliza wahusika wanasema 'mtandao upo down'..... hivi sababu ya mitandao hiyo kuwa down most of the times ni nini? Naombeni maelekezo wajuzi wa jambo hilo becoz I am in dilemma na naathirika sn becoz mimi ni mtumiaji mzuri sn wa huduma hizi.
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  wanaboa sana...
   
 3. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  watakwambia pia salio halitoshi!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  tigo na voda ni kampuni za mawasiliano sio taasisi za fedha ndio maana wana under perform
   
 5. f

  freddywm Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 13, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Kwa kweli hii nchi si jui inakwenda wapi, mitandao ya simu inafanya biashara za pesa,je ni halali au kwenye mikataba (ambayo najua viongozi wanasaini tu bila kusoma) ya kuendesha hizi biashara imo hii ya kuendesha biashara ya pesa??
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Niliwahi soma kuwa vodacom na airtel waluiomba leseni mpya toka bot kuendesha biashara ya pesa na sio tanzania pekee ni dunia nzima makampuni simu yanafanya hivyo inasaidia sana hasa vijijini banks hazijafika ila mpesa zappesa tigipesa zimefika....freddywm fanya utafiti zaidi utajua faida ya hiyo huduma
   
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Achana na urasimu.Tunachotaka ni huduma za haraka kupeleka na kupokea pesa hata bila mikataba.Tunataka ikiwezekana baadae watengeze simu zenye printer kabisa ya kutoa pesa ambazo zitakuwa halali kwa vile zitakuwa na nembo za tigo pesa m-pesa na hata ikiitwa freddywm-pesa tutatumia ilimradi benki kuu wamesharidhia.
  Vipi wewe unataka kuturudisha enzi za zamani.
   
 8. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me nshajitoa ktk hizo huduma mbofumbofu, hakuna cha mpesa ,tigopesa wala zappesa ni wizi mtu. Iweje pesa uitume leo afu imfikie mlengwa baada ya siku 3 na zaidi imekuwa utazan safari ya dar mpaka mwanza kwa treni. Kwel mshika mawili moja humponyoka mara mawasiliano mara pesa wapi na wapi.
   
 9. I

  Igangilonga Senior Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hatukatai ni huduma nzuri inayopunguza mafoleni ktk mabenki etc but ziwe za uhakika... most of the times zipo down, hapo ndo tunapoboreka watumiaji.... Halafu pia jana nimegundua hawa mawakala hawana elimu nzuri ya huduma hiyo.... rafikiangu alitaka kunitumia elfu 25 akaambiwa ili nipate hiyo hela taslimu chaji yake ni elfu 1 so akalipa elfu 26 (Mwenge), msg ikaja katika cm yangu kuwa nimepokea elfu 25, nikaenda kuchukua kwa wakala mwingine (Tabata), cha kushangaza akanikata tena elfu 1, ikabidi nipige cm tigo kuuliza kulikoni, nikaambiwa yule wakala wa Mwenge ndie aliekosea alitakiwa apokee elfu 26 na aniingizie elfu 26 then mimi nikienda kuchukua ndo nitapewa elfu 25, hiyo elfu 1 inakatwa automatically.... kwaiyo wakala wa Mwenge alichakachua hiyo elfu 1.......
   
Loading...