shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,192
- 2,119
GTs,
Tahadhari, leo Mpesa haitumi wala kupokea hela ila salio wanakata. CRDB nazo hazifanyi kazi.
Natoa angalizo tuwe na akiba ya cash muda wote! Tuendako hakueleweki