M Pesa na CRDB haitumi wala kupokea pesa

M Pesa na CRDB haitumi wala kupokea pesa

Jambo nililojiwekea akilini .... usiwe na option moja ya mifumo ya fedha.
Mfano una account moja tu ya bank, una line moja tu ya simu, rafiki asieweza kukukwamua katika shida kifedha ama mawazo/ushauri endelevu bila kufanya matangazo -- snitching, etc.
Unapokuwa na mahitaji ya haraka na muhimu waweza jilamu ama lamu kwa kitu ambacho ungeweza kukabiliana nacho kwa namna nyingine.
Naonekana nina mambo mengi kisa nina laini kila mtandao wa simu.

Hawanielewi ila wakipata shida hawachelewi kukutafuta uwasaidie maana wameshajua una laini zote.

Bank Pia account zote zipo nimejifunza sana hili swala ndio mana huwa sithubutu kutumia laini ya mtandao mmoja au bank 1 ni hatari kwq afya unaweza jikuta unalaumu shida ambayo utatuzi wake unao sasa hivi.
 
Back
Top Bottom