M-Pesa Mastercard inazingua Alibaba

M-Pesa Mastercard inazingua Alibaba

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Nimejifunza kwamba M-Pesa Mastercard inazngua Alibaba nimejaribu inagoma tu

Ngoja nikatafute tu Equity Card yangu

Update:Nimerudi equity aisee jamaa wapoyaani nimekata kadi hapo hapo na kufanya miamala hapo hapo najuta week zangu 3 nilizopotewa na mpesa MasterCard nimekoma na sitorudia utopolo ule tena....
 
Ukiagiza vitu Alibaba kawaida inachukua muda gani na njia gani inatumika kukufikishia?
 
Nimejifunza kwamba M-Pesa Mastercard inazngua Alibaba nimejaribu inagoma tu

Ngoja nikatafute tu Equity Card yangu

Update:Nimerudi equity aisee jamaa wapoyaani nimekata kadi hapo hapo na kufanya miamala hapo hapo najuta week zangu 3 nilizopotewa na mpesa MasterCard nimekoma na sitorudia utopolo ule tena....
Mpesa masters card ipo vizuri kwenye kufanya malipo alibaba, mi huwa naitumia kufanya malipo ni kitu cha dakika tano unakuwa umemaliza kazi.

Jaribu kuwasiliana na voda kujua kama line yako haina shida yoyote. ila mpesa master card inafanya malipo kwa haraka sana.
 
Msaada nataka kununua kitu through Aliexpress yeyote mwenye kujua zaidi msaada pls
 
Niliteseka sana hakuna kitu nilikua nanunulia Aliexpress ila sio alibaba inagoma
Mpesa masters card ipo vizuri kwenye kufanya malipo alibaba, mi huwa naitumia kufanya malipo ni kitu cha dakika tano unakuwa umemaliza kazi.

jaribu kuwasiliana na voda kujua kama line yako haina shida yoyote. ila mpesa master card inafanya malipo kwa haraka sana
 
Back
Top Bottom