Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
Huduma ya m-pesa kununua luku kama ingekuwa ni amri yangu ningefunga hiyo huduma unalipia Luku kwa M-pesa inachukua saa zaidi ya 4 kupata tokens za kuweka kwenye Mita sijaona umuhimu wake zaidi ya kuwa kero..