M-PESA haipatikani toka usiku

M-PESA haipatikani toka usiku

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,065
Huduma ya M-PESA haipatikani toka usiku.

Hizi huduma za mitandao sio za kuamini sana unaweza kulala njaa au kuachwa na gari kwa kuhifadhi pesa kwenye hii mitandao.

Kuna siku almanusura niachwe na ndege kwa kutegemea mtandao wa NMB halafu siku hiyo ukagoma kufanya kazi.
 
Nawaza kwa sauti. Hivi siku ikitokea haka kadude ka kuitwa mtandao, kakasepa kama wiki hivi, itakuwaje huko mtaani?
 
Mfukua Makaburi,

Hiyo kuachwa na ndege usiilaumu NMB ni wewe uache kufanya mambo kwenye deadline (zima moto). Mitandao kuwa offline ni kawaida dunia nzima. Kuna scheduled maintenance n.k.
 
Jumapili pia tigopesa nayo ilileta shida sijui wanafanyia overhaul system
 
Usiku wa saa ngapi?
Maana mimi jana nilinunua umeme ilikuwa kama saa mbili na robo
 
Back
Top Bottom