M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

Kazi tunayoendelea nayo kwenye chama ni maandalizi ya kukabidhiwa dola, ndiyo maana tumepotea kwenye mitandao.
 
CCM isiping'oka Mwaka huu haitong'olewa tena na Kizazi hiki labda kizazi kijacho na Hata Juma Duni alisema
 
Duuuh kweli Politics is difficult than physics!! Sasa huyu MGEJA sindo kamkimbiza LEMBELI CCM kwa zengwe na vituko vyake!? Sasa itakuaje anahamia hukohuko alikokwenda LEMBELI!!? Nnachokiona kama FAIDA kubwa ya UKAWA ni kuwapatanisha maadui wa muda mrefu.
 
Kwani CHADEMA ikisambaratika si ndio ahueni kwenu au? Mbona mnaingiwa woga sasa? mi nlitegemea mngekaa kimya ili hayo yatokee msherehekee..!

hivi mtanzania lazima awe chadema au ccm ndio atoe mawazo yake jf? jadili hoja kama imekugusa, sema kama uwezekano huo upo au haupo na kama uko smart utoe sababu
 
Karibuni ukawa muoshwe mutubu dhambi zenu na mwingie kwenye ngome ya kupigania wananchi
 
Chama ni wanachama...kabla ya kuanza kampeni tayar ukawa imesha ongeza wanachama ambao inauhakika na kura zao pamoja na wapambe wanaowasapoti hao waliokuwa wenyeviti wa mikoa chini ya ccm....tangu nimeanza kupiga kura 1995 sijawahi kuona ccm iliyobomoka kama mwaka huu kabla hata ya kuanza kwa kampeni...
 
Duuu, mama yangu eeeeh!!!!

Mama bado uko huko? Utaangukiwa jumba linaloenda kuanguka! Kikwetu huwa tunasema "Ugupondiwa li'saka" Hama huko mama mwebzio Msalani, Rejao, Masopyakindi, Rutashobolwa tayari wameshajisalimisha!
 
Walikuwa wenyeviti 17 wamebaki wa ngapi sasa?
1. Khamis Mgeja
2.John Guninita
3.
4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom