Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
M/KITI WA BAVICHA PATROBAS KATABIMBI AITEKA MANYARA.
M/Kiti wa BAVICHA ,juzi aliusimamisha mji wa Babati kwa muda,alipo wasili katika mji huo kwaajili ya Mkutano wa Hadhara.
Aliongozana na Viongozi wote wa Mkoa huo,kama wenyeji pamoja na Wabunge na wagombea ambao kura zao hazikutosha,huu ni mwanzo wa safari ndefu alionayo kuzunguka katika mikoa yote kwaajili ya ujenzi wa Chama na kuimarisha Baraza.
M/kiti alizungumzia mambo,mengi ikiwa ni pamoja na kuwa kumbusha Vijana kutimiza majukumu ya bila woga kwa kujitoa bila kuchoka ili kutimiza malengo tuliojiwekewekea kama Chama,badala ya kuendelea kulalamika kwa kukwepa majukumu au kutotimiza majukumu yako kama kija katika kuipigania nchi yako.
M/kiti aliwashukuru Wanababati kwa kutupatia Mbunge pamoja na Halmashauri,na aliwasifu watu wa Babati kwa umoja,ujasiri na mshikamano waliounesha katika kipindi chote cha uchaguzi hata kupata Mbunge.
Vija sasa uchaguzi umekwisha,turudi katika harakati mpya za ujenzi wa chama chetu.
Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA (T)M/