M- Degree wa kwanza kwenye ukoo

Hongera zake kwa kuvaa kivazi hicho, wengi hawajui hata utamu wa ya digirii ya kwanza.
 
Wangejua kwamba mpaka baada ya miaka mitano ndo jamaa apate ajira wangemshusha mapeema na kuendelea na shughuli zao za kila siku.
 
Anatakiwa kufanya kazi kwa bidii ana deni kubwa la kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…