donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
kamari ni biashara yenye faida kubwa ukiwa na displine....unaweza kupata milioni 100 ndani ya siku moja tu....nitajie biashara unayoweza kuingiza kiasi hicho kwa siku
Wakuu mbona mmekurupuka kunijibu bila kufanya uchunguzi kwanza huo mkeka hapo juu nimekula pili mm siyo mtoa mada nilikuwa namuonyesha mfano tu mtoa mada na cha mwisho team ikishinda matokeo utolewa kwa alama ya kijaniKama huo Mkeka ndiyo mwisho kama unvyoonyesha umeliwa jaribu kusoma maelezo ukicheza multiple ni mchanganyiko sasa wewe umechagua multiple bet then umecheza normal then unalalamika umeibiwa mbet hawakuibii Bali wewe ndiye unayejiibia mkuu siku nyingine angalia unachochagua kabla hujabet unawapa watu lawama bure wakati kosa la kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumdanganya banaaaa...multiple bet inacombine aina zote za betting zilizopo so kazi ni kwako ktk mkeka wako uchanganye aina IPI na IPI ya betting au uweke za aina moja.mfano mtu anaweza akaweka match ya kwanza akabashiri double bet,match ya pili normal na ya tatu both team to score au nyinginezo na mwingine anaweza akachagua aina moja tu ya betting mfano under/over au normal tu kama jamaa alivyofanya.Hilo tatizo hata mimi liliwahi kunitokea maana nilikula alaf ukiingiza mkeka unasoma nimepigwa then nikawafata ofisini kwao mambo yakaenda vzr...sema jamaa aseme yupo mkoa gan tujue namna ya kumsaidia maana huo mkeka ni pesa.....angekua amekosea masharti ya kubet hapo kwny magoli wangemuandikia kwa maandishi mekundu ht km mechi zimeenda sawa.Ingia app yao then nenda kwny maelekezo ya namn ya kubet multiple utanielewa vzr zaidi.Kama huo Mkeka ndiyo mwisho kama unvyoonyesha umeliwa jaribu kusoma maelezo ukicheza multiple ni mchanganyiko sasa wewe umechagua multiple bet then umecheza normal then unalalamika umeibiwa mbet hawakuibii Bali wewe ndiye unayejiibia mkuu siku nyingine angalia unachochagua kabla hujabet unawapa watu lawama bure wakati kosa la kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa umetuma mkeka wako wa kaz gan wakat sio kesi tunayozungumzia wala ww sio mtoa maada...Wakuu mbona mmekurupuka kunijibu bila kufanya uchunguzi kwanza huo mkeka hapo juu nimekula pili mm siyo mtoa mada nilikuwa namuonyesha mfano tu mtoa mada na cha mwisho team ikishinda matokeo utolewa kwa alama ya kijani
Sent using Jamii Forums mobile app
unadhan pesa ya kubet wanapata wapi kma hawana kaziAcheni Ku bet fanyeni Kazi
Tafsiri ya Kazi sio Risk!Kwani kubashiri sio kazi.....kama ni mteremko kajaribu kama haujafa masikini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujambazi, ukahaba, ni kazi!Kazi ni shughuli yeyote inayotumia nguvu (na) au akili. Kwani kubet hiatumii akili na nguvu kiasi?