Jamani msaada naulizia ofisi za kampuni ya Mbet, kuna mkeka nilibeti na matokeo yakaenda kama nilivyobashiri lakini kucheki wao wameandika not win.. Nimepiga sana namba zao za customer care hakuna hata moja inayopatikana.... Nauliza kama kuna mtu anazijua ofisi zao mahali zilipo
Sent using
Jamii Forums mobile app