Jamani msaada naulizia ofisi za kampuni ya Mbet, kuna mkeka nilibeti na matokeo yakaenda kama nilivyobashiri lakini kucheki wao wameandika not win.. Nimepiga sana namba zao za customer care hakuna hata moja inayopatikana.... Nauliza kama kuna mtu anazijua ofisi zao mahali zilipo
Jamaa ni wahuni sana siku hizi, sio mara moja wala mbili nimeweka bet na mwisho wa siku matokeo yanaenda vizuri, kesho wanakurudishia hela uliyobetia wanasema system ilifeli. Lakini sijawahi bet nikafeli wakarudisha pesa kuwa system ilifeli.
Kuna siku moja walinirudishia hela yangu niliyobetia baada ya siku mbili wakidai kulikuwa na matatizo ya network, kuangalia matokeo timu nilizobetia zilikuwa zimeshinda