M 23 waambiwa wasahau kuiteka Goma au Sake

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,718
Kamanda wa Monusco Goma anasema m 23 wakijaribu kuiteka Goma Monusco italisaidia Jeshi la Kongo. Hii ni mara ya Kwanza Monusco wamesikika wakiongea namna hii.

Pia Kamanda wa Tanzania Goma anasema watawalinda raia Goma na wanaahidi kwamba adui akifika pale hawatakimbia na kuwaacha raia wateseke.

Hizi vita zinapotokea Afrika ni kwa ajili ya njama ya watu wale wanaotaka kuanzisha New World Order.

New World Order maana yake wanafikiria kuanzisha mpango moya wa kuitawala dunia,mpango wa kuleta aina mpya ya kuongoza maisha ya wanadamu,kuleta aina mpya ya utawala duniani.

Mpango huu wa New World Order unategemea sana kupunguza idadi ya watu. Depopulation is the key word.

Mpango wa New World Order unaanza na kupunguza idadi ya watu.
 
Huko ni kuchochea vita na mapigano yawe makali zaidi na kusababisha uharibifu na mauaji zaidi 🐒

Mi nadhani bado iko fursa muhimu zaidi ya majadiliano kwenye meza ya mazungumzo kutafuta suluhu ya Amani kudumu ya changamoto hii DRC🐒

Kushupaziana shingo na kutishiana inasababisha wapiganaji kujizatiti zaidi, kujilinda na kushambulia zaidi 🐒
 
Umeandika fact na fallacy kwa pamoja, ukajumlisha na imaginary stories a.k.a tales, ila munusco lazima waone aibu, miaka na miaka wapo tu hapo na watu wanauawa kila siku, wameona Tanzania imedhamiria kufanya kweli ndiyo na munusco wqkaona wajibaraguze, habari za new world order achana nazo mkuu, hizo ni hypocrisy theories tu.
 
Huko ni kuchochea vita na mapigano yawe makali zaidi na kusababisha uharibifu na mauaji zaidi 🐒

Mi nadhani bado iko fursa muhimu zaidi ya majadiliano kwenye meza ya mazungumzo kutafuta suluhu ya Amani kudumu ya changamoto hii DRC🐒

Kushupaziana shingo na kutishiana inasababisha wapiganaji kujizatiti zaidi, kujilinda na kushambulia zaidi 🐒
Wajadiliane na magaidi?
 
Kamanda wa Monusco Goma anasema m 23 wakijaribu kuiteka Goma Monusco italisaidia Jeshi la Kongo. Hii ni mara ya Kwanza Monusco wamesikika wakiongea namna hii.

Pia Kamanda wa Tanzania Goma anasema watawalinda raia Goma na wanaahidi kwamba adui akifika pale hawatakimbia na kuwaacha raia wateseke.

Hizi vita zinapotokea Afrika ni kwa ajili ya njama ya watu wale wanaotaka kuanzisha New World Order.

New World Order maana yake wanafikiria kuanzisha mpango moya wa kuitawala dunia,mpango wa kuleta aina mpya ya kuongoza maisha ya wanadamu,kuleta aina mpya ya utawala duniani.

Mpango huu wa New World Order unategemea sana kupunguza idadi ya watu. Depopulation is the key word.

Mpango wa New World Order unaanza na kupunguza idadi ya watu.
huez tengeneza hata chupi ila unazungumzia New World Order , sipend story za kusadikika , hiyo ni migogoro kama ilivyo kule Ethiopia au Sudan , chini ya utawala wa USA dunia ndo ilitulia ila huko nyuma hali ilikuwa mbaya maana kila mbabe alijipia mnyonge atakaye na wababe walishirikiana ila kuibuka kwa USA ikawanyong'onyesha himaya zote babe , ss hv USA anaenda anguka tutapitia kipindi kigumu kingine hata kwa miaka 100 hadi 500 mpk aje apatikane mmoja ambae atakuwa imara kila nyanga kwa kutuacha wengine kwa mbali sana huyo ndo ataifanya dunia irudi kuwa kama miaka hii 70 ya utawala wa USA
 
Kamanda wa Monusco Goma anasema m 23 wakijaribu kuiteka Goma Monusco italisaidia Jeshi la Kongo. Hii ni mara ya Kwanza Monusco wamesikika wakiongea namna hii.

Pia Kamanda wa Tanzania Goma anasema watawalinda raia Goma na wanaahidi kwamba adui akifika pale hawatakimbia na kuwaacha raia wateseke.

Hizi vita zinapotokea Afrika ni kwa ajili ya njama ya watu wale wanaotaka kuanzisha New World Order.

New World Order maana yake wanafikiria kuanzisha mpango moya wa kuitawala dunia,mpango wa kuleta aina mpya ya kuongoza maisha ya wanadamu,kuleta aina mpya ya utawala duniani.

Mpango huu wa New World Order unategemea sana kupunguza idadi ya watu. Depopulation is the key word.

Mpango wa New World Order unaanza na kupunguza idadi ya watu.
Hujui kitu weweee!!!
 
M 23 inapigwa tena na tena. M 23 inapanga Rwanda kupumzika au imepanga kufanya nini?
Mtafute Mungu wakati Mungu anapoweza kupatikana,kabla dirisha halijafungwa.
Ulikuwepo muda mwingi sana wa watu hawa kufanya amani. Lakini mawazo yao yalikuwa katika coltan tu.
Kwa nini Vita ya Ukraine na Russia inachukua muda mrefu? Kwa sababu watu wawili wanauawa kila baada ya wiki mbili.
Unadhani Vita ya Gaza itachukua muda mrefu?
 
Hahahahaha , kwamba Monusco waingilie? Ama kweli hiyo itaingia kwenye kitabu cha maajabu ,
Kwa kifupi Monusco wamepata aibu vibaya mno hapo ndugu zangu wa mbagala wanasema " kujifaragua" tu siku zote walikua wapi?
 
Umeandika fact na fallacy kwa pamoja,ukajumlisha na imaginary stories a.k.a tales, ila munusco lazima waone aibu,miaka na miaka wapo tu hapo na watu wanauawa kila siku,wameona Tanzania imedhamiria kufanya kweli ndiyo na munusco wqkaona wajibaraguze,habari za new world order achana nazo mkuu,hizo ni hypocrisy theories tu.
Huu ndio ukweli.

Alafu nitoe angalizo kwa mashabiki wa mihemko, M23 sio kwamba wamekaa kizembe wala wanapigwa kiholela. Kwa wiki kadhaa sasa wanagain territories, hawarudishwi nyuma na vikosi vya FARDC. Ndio maana unasikia mkwara wa kinafiki wa MONUSCO kuitisha M23 isivamie Goma, kama M23 ingekuwa inapigwa kwanini inatishiwa isivamie Goma?
 
Huko ni kuchochea vita na mapigano yawe makali zaidi na kusababisha uharibifu na mauaji zaidi 🐒

Mi nadhani bado iko fursa muhimu zaidi ya majadiliano kwenye meza ya mazungumzo kutafuta suluhu ya Amani kudumu ya changamoto hii DRC🐒

Kushupaziana shingo na kutishiana inasababisha wapiganaji kujizatiti zaidi, kujilinda na kushambulia zaidi 🐒
Hakuna majadiliano na magaidi! Naweza kusema hata wewe ni wa kuchunguzwa usikute ni mmoja wao
 
katika sanaa ya usuluhishi njia zifuatazo hutumika kufikia muafaka kwenye migogoro yenye masuala ya moto kama hili la DRC.

Uamuzi wa kushupaza shingo kama huo wako ni matokeo ya low IQ na migawanyiko ya watu walokata tamaa

bu for your infomation,

negotiations,
mediation
arbitration or laws
force or military interventions

tofauti na hapo ni upoyoyo tu,
bado ipo fursa muhimu sana ya meza ya mazungumzo kumaliza jambo hili kwa amaniDRC...

hiyo ya mwisho haina haja kabisa pale DRC,
uwezekano wa kutumia hayo mawili ya mwanzo uko wazi sana na hili jambo likaisha kwa amani zaid...
 
katika sanaa ya usuluhishi njia zifuatazo hutumika kufikia muafaka kwenye migogoro yenye masuala ya moto kama hili la DRC.

Uamuzi wa kushupaza shingo kama huo wako ni matokeo ya low IQ na migawanyiko ya watu walokata tamaa

bu for your infomation,

negotiations,
mediation
arbitration or laws
force or military interventions

tofauti na hapo ni upoyoyo tu,
bado ipo fursa muhimu sana ya meza ya mazungumzo kumaliza jambo hili DRC...

hiyo ya mwisho haina haja kabisa pale DRC,
uwezekano wa kutumia hayo mawili ya mwanzo uko wazi sana na hili jambo likaisha kwa amani zaid...
Ndio kagame amekutuma uje ubembeleze huku?
 
Back
Top Bottom