Lyke mother lyke daughter

Kweli mama kazaa mwana.hata kutembea ukiangalia miguu ya wote ni mguu wa kulia ndio ulioko mbele na ule wa kushoto umenyanyuliwa sawa kabisa kwa wote
 
Safi sana, Amazing.....ila next time na mtoto amvalishe ndala
 
Mungu awaongoze mama na Mtoto popote walipo.
 
Kiingereza chenyewe hamkiwezi lakini bado mpo mnan'gan'gania tu. Lyke ndio nini sasa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…