huyo lazima aondoke, amecheza na Maalim Seif. Yeye alitarajia apige kelele za CUF kutumia fedha nyingi kujijenga Zanzibar pekee badala ya bara halafu wamuache. Ndio maana pamoja na wajumbe wa bara kumpa kura nyingi na kumfanya aongoze kati ya waliopigiwa kura kwenye baraza la uongozi na kumzidi hata Haji Duni bado ametoswa!. Maalim Seif alimwambia wazi Lipumba asipendekeze jina lake. Huyu hakugombea akashindwa bali jina lake halijapendekezwa kabisa na mwenyekiti wao kwa kushauriana na katibu mkuu. Kimbelembele chake cha kupinga upemba ndani ya CUF ndio kimemponza. Kila siku ilikuwa kulilia tu chama hicho kijijenge bara kumbe wenzake wana ajenda nyingine kabisa
...........ndiyohiyo
Aliyewahi kuwa mbunge wa bukoba mjini kwa tiketi ya cufna naibu katibu mkuu, bwana lwekatare inasekana yuko kwenye hatua za mwisho kujiunga na chadema.
Hali hiyo imekuja baada ya mkutano mkuu wa cuf uliofanyika mwishoni wa february kuchagua viongozi mbali mbali na baada ya hapo kuna nafasi za kuteuliwa, bwana lwekatare alikosa nafasi yake ya naibu katibu mkuu.
Lwekatare amekosa uvumilivu wa mzee kawawa wa kupanda na kushuka kimadaraka?
Hivi Lwakatare anataka kuhamia Chadema kwa sababu ipi mojawapo?
1. Kuunganisha nguvu kwa ajili ya 2010
2. Kakosa madaraka CUF au
3. Itikadi yake imebadilika na kushabihiana na ya Chadema?
Hata Urais mgombea wa Chadema atashinda kiulaini,tunasubiri tu Chadema watuletee mgombe mzuri na waachane na Zitto type.Ukisoma vizuri alama za nyakati, CUF imepoteza mvuto wa kitaifa na kimkoa. Mgombea mtarajiwa yeyote mwenye kupiga hesabu vizuri hata kama anao mtaji wa wapiga kura, kugombea kupitia CHADEMA ndiyo turufu yenye uwezekano mkubwa wa kushinda ubunge.
Zagazaga hilo halina nafasi CCMAende CCM atapokelewa vizuri sana ....
Rwakatare alipokuwa CUF alikifanya chama hicho kisionekane cha kidni (cha kiislam), sasa kama akijitoa ndio kitakuwa chama cha kidini haswa. CUF inaelekea kuzimuni
bwana we usipotoshe watu, CUF wanafanya maamuzi yao kupitia taasisi za chama ambazo zinawakilishwa na wajumbe waliochaguliwa katika utaratibu wa kichama mfano baraza kuu la taifa, suala la kufanyika maamuzi na watu fulani halipo kabisa katika CUF na ndo maana wale wasiopenda utaratibu huu wa kufikia maamuzi wa uwazi usiokuwa na mizengwe wanashindwa kuyavumilia hayaHii move si nzuri kwa Bwana Lwakatare kwasababu kujitoa kwake CUF na kujiunga na CHADEMA itakuwa ni kutafuta cheo na si kutetea maslahi ya wananchi.Kwanini Lwakatare ajitoe CUF baada ya kuenguliwa katika safu za uongozi wa juu.
CUF ni chama chenye nguvu zaidi Zanzibar kuliko huku bara,maamuzi mengi makubwa yanafanywa na viongozi wajuu kutoka Zanzibar pengine Lwakatare kaonekana hana manufaa tena kwa chama.
ccm je?cuf hawana bao huku bara kwahiyo kwa lwakatare kuhamia chadema ni pigo kubwa kwao!! Hawa jamaa wa cuf wanawatumia tu hawa wakina lipumba kuwa wanapresence huku bara lakini moyo wao na akili zao ziko pemba na ndio maana wanamaono ya siku moja kuwa na jamhuri ya pemba!! Hata huyo lipumba [mzigo mzito mpe mnyamwezi siku si nyingi watamtema] angalia jinsi walivyomdhalilisha prof. Safari kwenye uchaguzi wao; mtu aliyejitolea kutetea kesi zao mpaka akapoteza ajira yake; that is cuf for you, only good kwa wapemba!!
Zagazaga hilo halina nafasi CCM
Ni CCM Asili na siyo ile Mtandao...Unaongelea hii CCM iliyompokea na kumpa madaraka HIZA TAMBWE ama nyingine?
Ni CCM Asili na siyo ile Mtandao...
Rwakatare alipokuwa CUF alikifanya chama hicho kisionekane cha kidni (cha kiislam), sasa kama akijitoa ndio kitakuwa chama cha kidini haswa. CUF inaelekea kuzimuni
Lipumba ni hovyoooooo kabisa u pofesa wake sijui kaupatia wapi?Lwakatare hama tuu CUF haina msimamo,angalia Lipumba anaunga mkono ununuzi wa mitambo mitumba.
Ni kweli kabisa sijui Elimu ina faida gani kama Wasomi ndio wanaoihujumu nchi,hawana mchango wowote wa manufaa kwa nchi.Nafikiri ndio maana Madagascar wamempa nchi DJ Rajolina baada ya kuona wasomi hawana jipya ila wanatumia elimu kuiibia nchi.Watanzania tuamke tuilinde nchi yetu.Lipumba ni hovyoooooo kabisa u pofesa wake sijui kaupatia wapi?
........wanasiasawa tz hawafai kweri......muoneni Zitto leo kapewa bahasha kaota makucha.....na huyu lwakatare hata akiamua kuamia Republican is up to him.....