Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
Hapo na mm ndipo niliposhituka aisee. Inamana walirekodi mara mbili kipande hicho hicho au recorders walikuwa wengi?? sasa kwann zitofautiane contents kama ilivyoelezwa????J3 jamaa ataachwa huru maana wanajua wakienda mbele watu wazima wataumbuka.Nasikia polisi ipo nyingine baada ya hii kuonekana ina mapungufu