Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

la muhimu zaidi wamkamate Nchemba na kumuuliza CD aliyonayo inafanana na hiyo kama akisema ni yenyewe yeye Nchemba ndio atatakiwa atoe maelezo ya kina.kama hakisema siyo basi alazimishwe kuitoa hiyo aliyonayo. tatizo liko wapi wakati hiyo ni kazi ya siku moja

Ni kweli ingekuwa vizuri kama Nchemba akiweka ya kwake kweye yutube tuione
 
Hata wanaochangia humu post zinazohusiana na hilo sakata nao wawe makini sana! :becky: :becky: :becky:
 
Dua la kuku limepishana njia na mwewe,CHADEMA hakitakufa kirahisi hivi.Mwenyewe nimeona hicho kitu na hata yule dada aliyekwenda dirishani,utagundua ni distance ndogo kutoka kwa Lwakatare lakini bado tu mazungumzo yalikuwa yanaendelea kitu ambacho hakileti mantiki

NI kweli kabisa,lazima maongezi yale yangemfanya atoe macho yake yote na masikio ili kusikiliza Lwakatere anaongea nini.Ni vitu vya ajabu cha msingi tumuombee mungu ili akitoka asiwe na sababu ya kurudisha kisasi maana hicho ndicho kitu kibaya zaidi.
 
Hii inaitwa Public Spinning Technics, houni watu wote masahau issue kubwa na muhimu ambayo serikali ilikuwa haina majibu. KUFERI KWA FORM IV na maandamano ya kuiwajibisha serikali. CHADEMA wameacha kabisa kuishughulikia, kwa sasa wanafikiria namna ya mumtetea Lwakatale, wananchi wamesahaurishwa kwamba licha ya kwamba serikali inakusanya kodi kutoka kwao, wanatumia kulipana maposho tuu, bila kuwahudimia ilikuwapa watotowao elimu bora. Tujifunze hilo.

Ukitaka kuamin kuwa swala hil bado lina utata mkubwa, anzisha thread yoyote yenye jina "Lwakatare", hazitapita dk 10, karibia nusu ya wana Jf watakuwa wameshaiView.

Hii ni kwasababu watu wana kiu ya kuupata ukweli

Nadhan hata ukiandika tu jina "Lwakatare" bado watu watamiminika tu.

Kwel tuna kiu na hil swala, lakn tusitegemee polis kutupa majibu mapema mana hawako huru kiutendaji (wanasubir amr za watawala) na teknolojia yao ipo chini sana.
 
Hii inaitwa Public Spinning Technics, houni watu wote masahau issue kubwa na muhimu ambayo serikali ilikuwa haina majibu. KUFERI KWA FORM IV na maandamano ya kuiwajibisha serikali. CHADEMA wameacha kabisa kuishughulikia, kwa sasa wanafikiria namna ya mumtetea Lwakatale, wananchi wamesahaurishwa kwamba licha ya kwamba serikali inakusanya kodi kutoka kwao, wanatumia kulipana maposho tuu, bila kuwahudimia ilikuwapa watotowao elimu bora. Tujifunze hilo.

Mkuu hata mimi nawashangaa cmd, kwa kweli mngeachaana na kuwekeza nguvu kwenye swala la kupikwa.sasa hivi mnatakiwa kumuacha tundu lissu na prof.safari washughulike kisheria kuliko wote kuangalia hilo.CCM wana hofu na matokeo ya f4 na pia kuyumba kwa uchumi.Ni muda sasa na nyie muanzishe rasmi M4C majimboni ili kuwachanganya ccm wanawateka akili kijinga
 
La msingi hapo mtu aliyemrekodi au aliyeweka video hiyo ajitokeze ndipo polisi waifanyie kazi video hiyo. Kwani mshitaki wa Lwakatare ni nani??? Si ajitokeze tuone?!!!!!!
 
alisem ashikamoo baba Pendo au sikusikia vizuri?Rwakatare anaitwa hivyo? pale Rwakatare ni mgeni au mwenyeji?je huyu anaepokea maelekezo ni mgeni au mwenyeji?au yule aliewasilia ndio mwenyeji? Clip inapoanza ile response ya kwanza kabisa ya Rwakatare haikua kwa swala la mic bali alikua anarespond kitu ingine na huyu anaepokea maelekezo alirespond sauti ya mtu mwingine inazungumza kwa mbaali. pia kama mlengwa ni Rwakatare mbona anasikika kwa mbali tofaut na akiongea huyu mpokea maelekezo?
 
kwa mtu mwelewa wa editing ataipinga kwa asilimia mia moja hiyo clip, ila kwa wale wasiojua ama washabiki tu wa siasa wataendelea kuamini udanganyifu huu.

kwa kuwasaidia polisi au wachunguzi wajambo hili wafanye yafuatayo.

1. kuanzia mwanzo wa clip yenyewe mpaka dk 1:43 (hapo wanaposalimiana) ndio pana majibu yote na hakuna haja ya kwenda zaidi ya hapo. Ile MARAHABA ALIITIKIA LWAKATARE ILA IKAKATWA KWA KUINGIZA YA UONGO, siju habari za siku nyingi..na kadhalika..

2.Pili, wamefanya kosa kubwa kwa kutokujua kuwa sasa si enzi za mwalimu, huyo MTU ALIYESALIMIA (RICH), ANAWEZA KUWA SHAHIDI NA NIRAHISI KUMPATA KWA SURA TU, kama kweli wachunguzi wapo makini.

3. Na mwisho, source ya video yenyewe, najua imewekwa youtube then ikawashared JF. LAKINI WAKIKUBALI KUMTAFUTA ALIYEIWEKA NI KITU CHA SIKU AU MASAA. LABDA PAWE TU NA MKONO WA SERIKALI NDIO ZOEZI LITASITISHWA, maana ni aibu kwao.

Sina ushabiki wowote wa kisiasa ila kutokana na uvivu wa jeshi la polisi la kutegemea kuchukua tu vitu bila kuwa na source maalum itawapa shida sana, na hapa ndipo wataona umuhimu wa kuwa na polisi wasomi kweli na si hawa wa kwenda kwata kwa miezi tu.
usishangae mkuu hata tuliletewa aliyemtesa ulimboka baada ya kujipeleka mwenyewe kanisani kutubu!!! Watanzania tunaonekana wazuzu kuteletewa vitu vya kupikwa pikwa tena wapikaji hawatumii intelligensia ya juu ili mtu uumize kichwa!!
 
kwa mtu mwelewa wa editing ataipinga kwa asilimia mia moja hiyo clip, ila kwa wale wasiojua ama washabiki tu wa siasa wataendelea kuamini udanganyifu huu.

kwa kuwasaidia polisi au wachunguzi wajambo hili wafanye yafuatayo.

1. kuanzia mwanzo wa clip yenyewe mpaka dk 1:43 (hapo wanaposalimiana) ndio pana majibu yote na hakuna haja ya kwenda zaidi ya hapo. Ile MARAHABA ALIITIKIA LWAKATARE ILA IKAKATWA KWA KUINGIZA YA UONGO, siju habari za siku nyingi..na kadhalika..

2.Pili, wamefanya kosa kubwa kwa kutokujua kuwa sasa si enzi za mwalimu, huyo MTU ALIYESALIMIA (RICH), ANAWEZA KUWA SHAHIDI NA NIRAHISI KUMPATA KWA SURA TU, kama kweli wachunguzi wapo makini.

3. Na mwisho, source ya video yenyewe, najua imewekwa youtube then ikawashared JF. LAKINI WAKIKUBALI KUMTAFUTA ALIYEIWEKA NI KITU CHA SIKU AU MASAA. LABDA PAWE TU NA MKONO WA SERIKALI NDIO ZOEZI LITASITISHWA, maana ni aibu kwao.

Sina ushabiki wowote wa kisiasa ila kutokana na uvivu wa jeshi la polisi la kutegemea kuchukua tu vitu bila kuwa na source maalum itawapa shida sana, na hapa ndipo wataona umuhimu wa kuwa na polisi wasomi kweli na si hawa wa kwenda kwata kwa miezi tu.

Nani kakwambia hakuna polisi waliosoma? Acheni zarau za kijinga. kila jeshi la polisi duniani lazima liwe na askari wenye viwango vya elimu tofauti[wenye elimu ya kawaida-sekondari; wataalamu na mabingwa katika fani mbalimbali. kwa taarifa yako hata polisi wetu wapo waliosoma kuliko hata wewe. Hoja yako naona imetoka tumboni na sio kichwani.
 
kwa mtu mwelewa wa editing ataipinga kwa asilimia mia moja hiyo clip, ila kwa wale wasiojua ama washabiki tu wa siasa wataendelea kuamini udanganyifu huu.

Kwa kuwasaidia polisi au wachunguzi wajambo hili wafanye yafuatayo.

1. Kuanzia mwanzo wa clip yenyewe mpaka dk 1:43 (hapo wanaposalimiana) ndio pana majibu yote na hakuna haja ya kwenda zaidi ya hapo. Ile marahaba aliitikia lwakatare ila ikakatwa kwa kuingiza ya uongo, siju habari za siku nyingi..na kadhalika..

2.pili, wamefanya kosa kubwa kwa kutokujua kuwa sasa si enzi za mwalimu, huyo mtu aliyesalimia (rich), anaweza kuwa shahidi na nirahisi kumpata kwa sura tu, kama kweli wachunguzi wapo makini.

3. Na mwisho, source ya video yenyewe, najua imewekwa youtube then ikawashared jf. Lakini wakikubali kumtafuta aliyeiweka ni kitu cha siku au masaa. Labda pawe tu na mkono wa serikali ndio zoezi litasitishwa, maana ni aibu kwao.

Sina ushabiki wowote wa kisiasa ila kutokana na uvivu wa jeshi la polisi la kutegemea kuchukua tu vitu bila kuwa na source maalum itawapa shida sana, na hapa ndipo wataona umuhimu wa kuwa na polisi wasomi kweli na si hawa wa kwenda kwata kwa miezi tu.

mzee hongera sana nimependa maoni yako naona ulifaa kabisa kuwa polisi,au mmojawapo wa wazazi wako walikuwa polisi,hayo ni maoni tu umetoa,labda na mimi ni kushauri jambo moja sio lazima kila jambo ambalo vyombo vya usalama vinalichunguza liwekwe hadharani kama yalivyo magazeti ambayo unayapitia kila siku,ila nakupa hongera japo kwa uelewa ulio nao utakusaidia katika maisha yako binafsi sababu inaonesha a,b,c unazo,hongera kaka.
 
Nyie kaeni mkao wa kula, ziko zingine, ya Slaa,mbowe na Lema, hawa watu ni wa hatari sana,mtakuja kujionea wenyewe.
 
kwa mtu mwelewa wa editing ataipinga kwa asilimia mia moja hiyo clip, ila kwa wale wasiojua ama washabiki tu wa siasa wataendelea kuamini udanganyifu huu.

kwa kuwasaidia polisi au wachunguzi wajambo hili wafanye yafuatayo.

1. kuanzia mwanzo wa clip yenyewe mpaka dk 1:43 (hapo wanaposalimiana) ndio pana majibu yote na hakuna haja ya kwenda zaidi ya hapo. Ile MARAHABA ALIITIKIA LWAKATARE ILA IKAKATWA KWA KUINGIZA YA UONGO, siju habari za siku nyingi..na kadhalika..

2.Pili, wamefanya kosa kubwa kwa kutokujua kuwa sasa si enzi za mwalimu, huyo MTU ALIYESALIMIA (RICH), ANAWEZA KUWA SHAHIDI NA NIRAHISI KUMPATA KWA SURA TU, kama kweli wachunguzi wapo makini.

3. Na mwisho, source ya video yenyewe, najua imewekwa youtube then ikawashared JF. LAKINI WAKIKUBALI KUMTAFUTA ALIYEIWEKA NI KITU CHA SIKU AU MASAA. LABDA PAWE TU NA MKONO WA SERIKALI NDIO ZOEZI LITASITISHWA, maana ni aibu kwao.

Sina ushabiki wowote wa kisiasa ila kutokana na uvivu wa jeshi la polisi la kutegemea kuchukua tu vitu bila kuwa na source maalum itawapa shida sana, na hapa ndipo wataona umuhimu wa kuwa na polisi wasomi kweli na si hawa wa kwenda kwata kwa miezi tu.

Huyu wamemtuma kufanya hivyo hawataki kabisa kumtafuta!
 
Vyombo vya dola na ccm wameweza kuwasahaulisha watanzania hoja za msingi za masuala ya form four. Watanzania kwa kusahau nooma!
 
La maana hapo huyo anayejiita Bukoba boy ajitokeze mahakamani tuone!!!! Tofauti na hapo Lwakatare asikubali kushitakiana na upepo!!!
 
hii issue lazima ife na chama kimojawapo, na c kingine bali ni ccm tu
 
Mkuu Tamar, wala usiwe na wasiwasi, kubaini genuinity ya ile clip wala hakuhitaji hata metal data, kama una mac, just save the video, then import kwenye final cut pro, creat time line, utaona kila kilichofanyika, utaona sound track kama ni original or impoted na kama ina continuity au ilikuwa imposed, utanirudia na kunishukuru kwa kuwaambia ukweli mapema!.

Pasco.

Naona wewe kweli mbishi hujui hata metadata (data about data). unapingana na ukweli...nakukuhakikishia huta kuwa na ushahidi wa wazi kama ile clip ni fake or gunuine if you leave alone metadata
 
Hivi kweli kuna mtu anadhani serikali ya Tanzania ikitaka kujua mtu aliyeiweka ile video YouTube itashindwa?

Kuna watu wako so illiterate na kompyuta wanadhani kuwa uki-uplaod video Youtube na ID feki basi huwezi kuwa tracked down.

Everything that people do on the Internet, including on YouTube, can be tracked down so easily. I mean everything.

Sioni ugumu wowote wa kum-track aliyeweka ile video.

Na kwa vile ile video inaongelea conspiracy to kill someone na kwa vile terms na conditions za YouTube zinakataza ku-upload video za aina hiyo, Google watakuwa tayari ku-cooperate na Tanzania kumpata aliyeiweka ile video ya conspiracy to commit a deadly crime.

This is will be successful "if and only if" hiyo serikali ya Tanzania haihusiki na hiyo video..! Kama wao ndio waliotoa agizo la hiyo video ni wazi hawatataka kujiumbua. Tuone sasa atakayeshikishwa ngozi hii na kubambikiwa kesi ya ulaji nyama.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
haiwezekani ukweli ni kuwa tukishajua internet cafe tutatembela komputer zote na kuchukua finger print zote, tuki eka kwenye data base ya finger print tutapaat tu sample space.
hahaha
kifupi huezi kwepa kama kweli wakiamua ila ndio hivyo.

eeeh gharama zake kubwa sana, na hatuko serious na haya mambo!
 
Hivi suala hili halina uzito wa kutosha kutaka msaada wa FBI? (kama lile la Zenji!)
 
Back
Top Bottom