Mkuu KAUDO ulichokiandika nami nimekisikia toka mwaka jana.....Anayetajwa tajwa kuwa mbadala wa Lwakatare ni Gration Mukoba ingawa bado
yuko kimya
Mkuu KAUDO ulichokiandika nami nimekisikia toka mwaka jana.....Anayetajwa tajwa kuwa mbadala wa Lwakatare ni Gration Mukoba ingawa bado yuko kimya
Lwakatare ameshachafuka mno. Hayo mambo ya ubunge inabidi aachane nayo tu...
Nitashangaa sana endapo Lwakatale ataruhusiwa na cdm kugombea huku akiwa mtu alietaka kuondoa uhai wa mtu.
Pia itadhihirika chadema ilivyohusika katika uovu huu.
ndivyo mulivyotegemea iwe hivyo ubaya jibu lake ni ubaye,wote tunajua uko kwenye mchezo katikati na wenzio ambao listi yenu inajulikana vizuri,lakini circumstances siku zote haziruhusu ubaya utawale kwani haki utamalaki hata baada ya mateso mengi atakuwa huru na wewe utakuja kuumbuka sana kama ulivyoombuka na movie ya kuchora ya amama yako na kaka yakoNitashangaa sana endapo Lwakatale ataruhusiwa na cdm kugombea huku akiwa mtu alietaka kuondoa uhai wa mtu.
Pia itadhihirika chadema ilivyohusika katika uovu huu.
Hivi kumbe inaruhusiwa mtu kugombea ubunge akiwa jela nilikuwa sijui hilo wana jf
Msichana fanya siasa zisizokuwa za fitina bado ni mdogo sana na unasafari ndefu sana,wewe umeandikwa kwenye paji la uso kuwa ni mmoja wanaotumia utawala uliopo kuangamiza innocent people,hii picha uliyopakata utaishi nayo milele ulikuwa wa kwanza kutangaza hapa jamvini na kumuita Lwakatare gaidi mahakama kuu wamesema sio gaidi sasa tukuulize uongo wako utaupeleka wapi ukweli ni kwamba utaishi nao,ulithibitisha kwamba umeona video na lwakatare ni gaidi mahakama imekuvua nguo una nguvu kwa sababu unapeana mikono na Kikwete na Kinana na Ridhiwani kumbuka kila chenye mwanzo kina mwisho watoto wa Lwakatare ,mkewe na ndugu zake wote wanalia machozi yao yana dondoka chini kwa ajili ya wewe na wenzio kwenye listi yenu,mungu hataniwi utapata majibu yake hapa dunianiHivi kumbe inaruhusiwa mtu kugombea ubunge akiwa jela nilikuwa sijui hilo wana jf
Mkuu kwani hujui kwamba ukimuona kuku kapanda juu ya mti ujue kuna mtu kampandisha !R.I.P chacha zakayo wangwe
ndivyo mulivyotegemea iwe hivyo ubaya jibu lake ni ubaye,wote tunajua uko kwenye mchezo katikati na wenzio ambao listi yenu inajulikana vizuri,lakini circumstances siku zote haziruhusu ubaya utawale kwani haki utamalaki hata baada ya mateso mengi atakuwa huru na wewe utakuja kuumbuka sana kama ulivyoombuka na movie ya kuchora ya amama yako na kaka yako
Allah, kumbe wanaotakiwa kuchangia uzi huu ni wana wa Bukoba tu! Mie si Nshomile acha nikae kimya!je wewe ni mwana Bukoba? tusubili wenyeji waseme wenyewe
Allaaaaa, kumbe wanaotakiwa kuchangia uzi huu ni wana wa Bukoba tu! Mie si Nshomile acha nikae kimya!je wewe ni mwana Bukoba? tusubili wenyeji waseme wenyewe
Lwakatare ameshachafuka mno. Hayo mambo ya ubunge inabidi aachane nayo tu...
Wanabukoba niwajuavyo mimi hawapendi watu wenye makashfa hasa ya ugaidi na utekaji!
Huyu akitoka kwenye hiyo kesi ya utekaji aendelee na shughuli za kukihudumia chama na aachane kabisa na fikra za ubunge.
Lwakatare ameshachafuka mno. Hayo mambo ya ubunge inabidi aachane nayo tu...