PEOPLEEEEEES!
Ndugu Waheshimiwa wanachi,kwanza kabisa poleni na majukumu na changamoto mnazokutana nazo katika kuitafuta Tanzania tuitakayo.Na pia hongereni kwani nguvu zenu zinathaminiwa na ukombozi unakaribia.
Pili,kwa kipekee kabisa nikishukuru chama cha wazalendo CHADEMA kwa kunipigania na kunitolea misaada isiyohesabika.I WILL ALWAYS BE PROUD OF BEING IN CHADEMA.
Tatu,nichukue fursa hii kuutarifu umma kuwa makini na baadhi ya vyombo vya habari vinavyolenga kuupotosha kwa taarifa za uzushi na uwongo kwa sababu wanazozijua wao.
Katika mapokezi na mkutano mkubwa uliofanyika Bukoba mjini tarehe 19 Juni 2013, sikudiriki kumkashifu mtu yeyote,chama chochote na wala kusema kama vielezavyo baadhi ya vyombo vya habari.Kwa muda wa masaa mawili niliyopewa,nilitoa shukurani kwa wanabukoba na kusimulia maisha yangu ndani ya gereza kwa siku 92.Pamoja na hayo, tulipata muda wa kupeana mkono wa kheri.Mimi binafsi,sina adui bali ninao watu ambao hunipa changamoto za maisha kama ilivyo kwa binadamu mwingine yeyote.
Waheshimiwa watanzania, CHADEMA katika harakati hizi za kuleta mabadiliko ya kweli inakutana na changamoto nyingi ikiwemo hizi za kuzushiwa mambo yasiyo ya kweli. Ninawaomba wananchi muwe MAKINI SANA,ndivyo harakati za kuutafuta uhuru wa kweli zilivyo.
Mwisho kabisa, niwaombe msikate tamaa katika ujenzi wa taifa letu,tuendelee kutiana moyo na kushikamana. Nawatakia yaliyo mema.
Imeandaliwa na;
Wilfred Lwakatare
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CHADEMA.
source; ukurasa wake wa facebook na blog yake ya wilfredlwakatare@blogspot.com
HAMY D ndio aliyeleta uzushi hapa jf kuhusu Lwakatare,

You're just making noise for nothing.
Kwa hiyo wewe una muhuri kwenye paji la uso wako kama wewe siyo CCM, na kama ndivyo hivyo, una muhuri wa chama gani. Kwa ini unafikiria aliyefanya hivi LAZIMA atakuwa ni mwanaCCM.
Haya unayochagiza hapa ni mawazo ya chekechea.
Kwa mawazo yako, utakubaliana na mimi ni,isema kama CHADEMA wamechakachua gazeti ili kupata kigezo cha kusema ni CCM ili CCM ionekane ni wachakachuaji.
Utakubaliana na mimi nikisema kuwa aliyefanya hivi ana ugonvi personally na Lwakatare nanamefanya hivi ili kumhombanisha na uongozi wa CHADEMA kwa manufaa yake.
THINK BIGGER.
mkuu, huo si uzushi na ndo maana leo mwenyewe amekiri kuwa kuna watu wanampa changamoto ndani ya chadema. je hao hawazezi kuwa maadui zake?
kwa hiyo atakwenda mahakamani kwa kuzushiwa uongo ama? Au ndo muendelezo wa Sanaa za kukana ukweli aliokwisha ropoka...ndo wale wale tu masalia hakuna lolote
Mkuu habu muulize mh Lwakatare yale maagizo yake ya kuteka watu walengwa walikuwa nani?
Halafu sera ya nchi kutotawalika mnaitekelezaje?
alitaka kumbakaMwambie lwakatare atwambie alitaka kumfanya nini msack.