Mkuu habu muulize mh Lwakatare yale maagizo yake ya kuteka watu walengwa walikuwa nani?
Halafu sera ya nchi kutotawalika mnaitekelezaje?
Hiyo inaitwa "escapism"Muulize Ludovick na Mh. Mwigulu Nchemba
Hakuna sera kama hiyo kuna watu wanaogopa kivuli chao
--- lakini kwa wananchi walio wengi ni roho zilzopotea bure kwa uchu wa madaraka unaofanywa na kundi linalojulikana ndani ya CHADEMA.
You're just making noise for nothing.ONA UHUNI HUU WA CCM.
WAMETENGENEZA GAZETI LAO WAKALIITA MWANANCHI, NA WAKAPOTOSHA KUHUSU LWAKATARE, KUMBE MWANANCHI YENYEWE HAIKUANDIKA KBS TAARIFA HIYO.
TIZAMA MAGAZETI MAWILI YA MWANANCHI HAPO JUU, YOTE NI YA SIKU MOJA TAR.25 JUNE 2013.
LA JUU NI LILILOTENGENEZWA NA CCM NA KUSAMBAZWA ONLINE ILI KUPOTOSHA, LA CHINI NDIO MWANANCHI HALISI ILIYOUZWA MTAANI JANA.
WALICHOKIFANYA CCM NI KUIBA CORPORATE IDENTITY YA MWANANCHI ILI KUJITAFUTIA LEGITIMACY YA HABARI YAO.
THAT IS CRIMINAL OFFENCE AND ITZ CONTRARY TO THE PROPERTY ACT. [Cap.212 R.E.2008] CHAPTER 212 OF TANZANIA COMPANIES LAW.
N:B KAMA CCM WAMEWEZA KUIBA IDENTITY YA GAZETI LA MWANANCHI ILI KUTEKELEZA AZMA YAO OVU, JE INGESHINDWAJE KUUA WANACHAMA WA CHADEMA KWNY MKUTANO WA SOWETO ARUSHA, KWA MABOMU YALIYOLETWA NA MWIGULU NCHEMBA KUTOKA CHINA??
TUMA KWA WATU 10 WAJUE MBINU HIZI CHAFU ZA CCM, NA KUSHINIKIZA WANAHARAKATI KUISHTAKI CCM KWA UHALIFU HUU.!
Wanaccm wote wahuni na Wavunja sheria ningelikuwa Raisi ningewafunga Jela wote
AcutePay.com - Earn 1$ Per Referral Link Visit !
Yaani ungejifunga na wewe mwenyewe maana ni mwanaCCM
Katika mapokezi na mkutano mkubwa uliofanyika Bukoba mjini tarehe 19 Juni 2013, sikudiriki kumkashifu mtu yeyote,chama chochote na wala kusema kama vielezavyo baadhi ya vyombo vya habari.Mimi binafsi,sina adui bali ninao watu ambao hunipa changamoto za maisha kama ilivyo kwa binadamu mwingine yeyote.