Volkswagen, Benz or Audi?
Nsakaanka.Fisi ( NKIALU) like structure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh..nilitaka kuuliza huyu fal.a gani....kumbe mi ndo fal.a
Neno zuri sana hiloMazuri ya dunia hayaishi! Kila generation ya wanadamu na kitabu chao. Na hilo ndo fumbo la Imani.
Ila sizani kama ataamka yule maana ni muda mrefu sana sasa kalala bila fahamuJamaa kahamishiwa nyumbani kwa hiyo ana Doctor wake wa private,waandishi wa habari hawaruhusiwi.ila hali yako bado sana.
Fisi ( NKIALU) like structure
Mukatile.........nnamaNkyalu Mukunza du Mayu
Harrier Hybrid bei rahisi sana sasa hiviHarrier Hybrid mjini naona zipo nyingi number D sijui watu wamesishtukia nini
Ila kakosa hela ya kununua suruali za heshima kama za kwetu upareni, kavaa tambala lililochanika....Mkuu huyo Hamilton na hela za Formular One ni haki yake kumiliki Enzo Ferrari ya maranello.kashinda ubingwa wa dunia 2007,2014,2015. Na ni dereva ambaye ambaye analipwa zaidi.