Habari zenu wanaJF..? Napenda kujua kama kuna members wa jamvi hili ambao ni ex -students wa Lutengano Sec. School ambao walimaliza kati ya mwaka 1986 na 1989. Karibuni tujuane katika jamvi hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.