Lusinde: Wembe ni ule ule Arusha!

Lusinde: Wembe ni ule ule Arusha!

Huyu kilaza ni mtaji wa cdm. Unajua tatizo ccm inatumia mbinu za taarabu wakati arusha kwaya ndiyo zinazofagiliwa. Huyu ni kama askari mwenye shabaha ambaye anaelekeza risasi kwa wapiganaji wenzake . Tuone atafanya nini safari hii na mitusi yake ya nguoni hadi kinyefunyefu. Labda tumwite kinyefu nyefu
 
Hv huyu mgogo amekuwaje mbunge? Anaongeaga utumbo tu! Anatuaibisha vijana bana! He needs a tuition on ethics and values!
 
lusinde ni campaign manager wa CDM .... very interesting
 
anamchango sana kwenye chama chetu kama kawa tutanza kwa matusi na tutamaliza kwa ushindi kama igunga arumeru tulitukana sana ndio maana tulishindwa kwa sasa punguza kidogo.

Mbona matonya hatukanagi hivo huyu ni mgogo kweli? Asije kuwa amebaka jimbo
 
huyu jamaa chizi ccm hawajui inaelekea chama hicho kimejaa machizi
 
Ikiwa bwana Lema amevuliwa ubunge na mahakama kwa kauli za udhalilishaji, je si zaidi huyu kustahili kufunguliwa mashitaka ya kutukana hadharani na kwamba baadaye astahili kuvuliwa ubunge na kwenda jela kwa kukidhalilisha chama cha mapinduzi na kikitia hasara ya kugharamia uchaguzi wa Arumeru na kupoteza jimbo?
 
Hajui alitendalo, siku moja itafika, Lusinde atalia na kusaga meno kwa chuki anayoieneza ktk jamii iliyofunikwa
 
Huyu Lusinde hata jimbo analotoka ni wa ji nga na wa pu mba vu kama yeye, hawana akili kama yeye hivi kuna mgogo mwenye akili?
 
Back
Top Bottom