Lusinde na ujasiri

Lusinde na ujasiri

acheni ushuzi mtikila ndio katoa hiyo kauli kwamba hakuna mtu jasiri kama yeye.wewe lumumba usimtafutie umaarufu wa bure huyu hewaa

Na Lusinde hoja haikuwa ujasiri wake hoja yake ni huyo anayejiita ye ndo jasiri pekee wakati kuna majasiri kibao mfano wanajeshi....nlikuwa nataka nimjue huyo jasiri kumbe ni mtikila.
 
We ni mlija wa lumumba.lusinde kwa matusi ya nguoni ni jasiri.ujasiri wa kizalendo rev.mtikila
 
Lusinde anawashangaa wazee kwa uwoga wa kushindwa kuitetea nchi yao (Tanganyika) kwa kumuogopa mwl. Nyerere wamesubiri had amekufa ndo wanakuja kuitetea anasema sasa ye ndo mwalimu

Anasema eti yeye kazaliwa kakuta Tanzania kwa hiyo hawezi kuwa Mtanganyika tena amesahau kwamba hata wale Babu zetu waliopigania uhuru walizaliwa wakamkuta mkoloni aliyekuwa na Tanganyika kwa hiyo kama wangekuwa na akili mgando wasingeunganisha nchi na kubadili jina kuwa Tanzania eti kwa sababu tu wanaijua Tanganyika hivyo hivyo kwa Zimbabwe,Namibia, Zaire,Zambia,Botswana n,k, sasa basi tunachotaka ni hoja iliyopo kwa wakati huo wala siyo jina la nchi.
 
Kaongea sana kama kameza PM3, kifupi ametetea kura ya wazi. kasema yeye ni jasiri sana na kawalaumu wanaotaka kura ya siri. Kaongea mengi mno hadi kutolea mfano wa ujinga wa mtu anayekunya porini, anaelekeza nyuma yake porini kwenye simba kwa kuwaogopa binadamu wanaopita njiani ambao hawana mdhara kuliko simba alompa mgongo

Sio PM3 mkuu, ni mp3 lkn najua mkono uliteleza
 
Back
Top Bottom