jobe ayoub
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 203
- 100
Kweli watu wakikutaa ni balaa. Malecela aling'ang'ania ubunge bila ya kujua jinsi walivyokuwa wamemchoka walikuwa radhi kulipa ushindi hata kama ni jiwe na si mzee huyu na kilichotokea ni bora kumpa Lusinde kuliko huyu jabali. poleni sana wana mtera mbunge hamna.
Leo dodoma,
kaulizwa swali na mtangazji wa tbc1.
unaionaje bajeti hii.
kaisifia sana na kusema itasaidia sana wananchi na zaidi anaipongeza serikali kwa kutenga bilioni 500 za maji..
hilo cha mtoto,
kibaya zaidi anadai eti anawashangaa kwanini mamantilie atumie line nne za simu wakati yeye mbunge anatumia line ya mtandao moja tu.(hajui kupiga simu voda vs tigo or zain or zantel ni cost kuliko tigo to tigo or voda to voda
labda nimkumbushe LUSINDE na ccm yake.
watu tunatumia line tofauti tofauti kupunguza ghalama(ku-minimize cost),
sasa mmepandisha tena si ndio balaa!!
Wine produced with more than 25% imported grapes from shillings 1,345 per litre to shillings 1,614 per litre; being an increase of shillings 269 per litre
Wine with domestic grapes content exceeding 75 percent, from shillings 145 to shillings 420 per litre; being an increase of shillings 275 per litre