Lusinde anataka kujiuzulu ubunge.

Lusinde anataka kujiuzulu ubunge.

Huyo ni tumaini la CCM...ilikuwa ngumu sana kwa CCM kuzungumza sera ili waeleweke...kwa hiyo uwepo wa watu kama Lusinde Mkapa na Wasira uliwasaidia sana walau kuweza kushiriki katika majukwaa ya kampeni... nje ya matusi ingekuwa ngumu kama vile 2010 CCM ilipojitoa kwenye midahalo iliyoendeshwa na TV ya taifa-TBC.
 
Alitakiwa awe ameshajiuzulu long time. Kama hataki kujiuzulu, chama chake kingetakiwa kimeshampa adhabu long time.
 
Nilambe nisiwalambeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom