Lusinde anataka kujiuzulu ubunge.

Lusinde anataka kujiuzulu ubunge.

liverpool2012

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
102
Reaction score
23
Kutokana na kusakamwa sana kwa kitendo chake cha kupolomosha matusi.

"Tatizo naogopa kuwapa mzigo watanzania kwa uchaguzi mdogo" lusinde.
 
Asijiuzulu aendelee kuporomosha matusi yake ili ukombozi wa nchi uje bila gharama
 
Ajiuzulu uchaguzi urudiwe tuchukue jimbo
 
Dah huyu gamba noomarh anatukana matusi hadi yeye mwenyewe anajiogopa! Dah hiikali!
 
Dah huyu gamba noomarh anatukana matusi hadi yeye mwenyewe anajiogopa! Dah hiikali!
 
Lusinde has no credibility ya kuongoza hata vichaa let alone kuwakilisha jimbo. Nashangaa hata watu waliompigia kura. Huyu jamaa hafai kabisa kuongoza. Ni aibu kwa Taifa hasa hao Magamba
 
We thubutu yake!ubunge wenyewe wa kusaidiwa baada ya kuwa vuvuzela wao.unafikiri ataweza?anajua alikotoka pale kawe alikua analala kwenye nini.Sasa athubutu aone cha mtema kuni kwani magamba wana maana yaani kwao we wanaku2mia kama co...m kisha huna kazi
 
ajiuzulu na aliyemfuatia kwa kura nyingi aapishwe mbunge mpya kama suala ni gharama
 
Huyu Lusinde ni mnafiki tu hanalolote, ajiuzulu tu tuchukue jimbo leto, yupo kama vuvuzela linatoa mlio kadri lipulizavyo, hana vigezo vya kuwa kiongozi
 
Kwanza kisheria anatakiwa aachishwe kazi kwa kuwa yeye ni "KICHAA WA KUZALIWA" hapa chama chake kilikiuka maadili
 
Ma2c haya huwa c kosa la jinai kwa baadhi ya wa2 hasa hawa wa magamba.
 
Nimesikia kwamba CV yake ya kufanya kazi wodi ya vichaa milembe dodoma ameificha-kufanya kazi ya kuuguza machizi wa kulogwa unatakiwa uwe chizi wa kuzaliwa, na ndio maana huyu kudadadeki lucy indi alisema amezaliwa nao
 
He was to be fired for misbehaviour...unfortunately because the CCM LEADERSHIP is dominated by leaders whose morals and displines are questionable who is going to fire him? Unbelievable.
 
Huyu mtu sijui ni kizazi original cha thithiem. ndo matunda ya kulea chama na watu wake...kuna siku watatupaka vinyesi watu kama hawa..
 
Mtu kama Lusinde ni silaha muhimu sana kuwa nayo upande wa adui.
Si busara kujiuzulu.
 
Back
Top Bottom