Lusinde aivua nguo Serikali mbele ya Kinana

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Mbunge wa Mtera kwa tiketi ya CCM,Livingstone Lusinde aka Kibajaji ameivua nguo Serikali ya CCM. Akihutubia mbele ya Katibu Mkuu Kinana jimboni kwake Mtera,Lusinde amesema wananchi wamechoka kudanganywa. Amesema Serikali imezoea kuwadanganya wananchi juu ya mambo ya maendeleo huku Rais akiagiza michango ya lazima ya maabara.

Lusinde alitangaza na kuwataka wananchi wa Mtera kugomea agizo la Rais Kikwete juu ya michango ya maabara. "Ametamba alivyotaka mbele ya Kinana na Kinana hakumjibu wala kuweka mambo sawa. Amesema kuwa Serikali inadanganya watu. Hakika ameonesha jinsi CCM ilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake" alisema shuhuda toka Mtera.

Katibu mkuu Kinana umebariki haya ya Lusinde?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
unasemaje...???
 
Wewe kama huna mud a wa kumsiliza kaa kimya usishawishi engine wafuate mtazamo wako
 
Anajaribu kufuta kashfa ya tawala kula njama ya moto na baadaye kuitema baada ya kushindwa kuimeza huku ikawa imewaunguza vibaya sana mdomoni!
 
Lakini amesema ukweli tena ukweli mtupu. Kosa yeye akiwa mwana ccm wanaounda serikali, inaweza akaonekana amesema jambo sahihi, kwa njia sahihi, mahala pasipo sahihi na nje ya muda.

Yeye anaijua zzaidi ccm kwa vinyongo na visasi. Ninategemea amejiandaa kwa lolote litakalotokea. Lililodhahiri, hawampitishi tena kugombea ubunge, kwa maana hiyo ubunge bye bye. La pili anatakiwa awe makini na usalama wake. Akazane kusali kabla jeshi la mumiani halijampoteza.
 
Mbunge wa Mtera kwa tiketi ya CCM,Livingstone Lusinde aka Kibajaji ameivua nguo Serikali ya CCM. Akihutubia mbele ya Katibu Mkuu Kinana jimboni kwake Mtera,Lusinde amesema wananchi wamechoka kudanganywa. Amesema Serikali imezoea kuwadanganya wananchi juu ya mambo ya maendeleo huku Rais akiagiza michango ya lazima ya maabara.

Lusinde alitangaza na kuwataka wananchi wa Mtera kugomea agizo la Rais Kikwete juu ya michango ya maabara. "Ametamba alivyotaka mbele ya Kinana na Kinana hakumjibu wala kuweka mambo sawa. Amesema kuwa Serikali inadanganya watu. Hakika ameonesha jinsi CCM ilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake" alisema shuhuda toka Mtera.

Katibu mkuu Kinana umebariki haya ya Lusinde?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mzee Tupatupa umejisahau kabisa.Mwaka huu ni mwaka wa kuchaguana.Pole utasikiq mengi hata kuipinga Katiba ya Fisadi Chenge kama tu kwa kuipinga kutaongeza KURA za Ubunge.

Ningekuomba jisumbue kidogo Kamsikilize Mrisho Mpoto na Kibao chake kipya eti "Njoo Uchukue"...
 
Na yeye anapiga sanaa tu kama kawa!! Enhe....baada ya kesema hivyo...anaachana na magamba?
 
Angesema hivi mpinzani angeambiwa ana chuki binafsi na Kikwete. Sasa huyu sijui watakuja na kauli ipi!? Au wataishia kujibaraguza tu kama hawajasikia lolote.

Mbunge wa Mtera kwa tiketi ya CCM,Livingstone Lusinde aka Kibajaji ameivua nguo Serikali ya CCM. Akihutubia mbele ya Katibu Mkuu Kinana jimboni kwake Mtera,Lusinde amesema wananchi wamechoka kudanganywa. Amesema Serikali imezoea kuwadanganya wananchi juu ya mambo ya maendeleo huku Rais akiagiza michango ya lazima ya maabara.

Lusinde alitangaza na kuwataka wananchi wa Mtera kugomea agizo la Rais Kikwete juu ya michango ya maabara. "Ametamba alivyotaka mbele ya Kinana na Kinana hakumjibu wala kuweka mambo sawa. Amesema kuwa Serikali inadanganya watu. Hakika ameonesha jinsi CCM ilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake" alisema shuhuda toka Mtera.

Katibu mkuu Kinana umebariki haya ya Lusinde?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Kuna taratibu za kichama sio mahali pale aliposema, tatizo lake ni mropokaji sana huyu kijana.
 
Lusinde amefuata nyayo za Katibu mkuu wake Kinana,mara nyingi Bw Kinana anaendelea kulalamika kwenye mikutano ya hadhara,akilalamikia utendaji mbovu wa serikali ya chama chake.
 
Angesema hivi mpinzani angeambiwa ana chuki binafsi na Kikwete. Sasa huyu sijui watakuja na kauli ipi!? Au wataishia kujibaraguza tu kama hawajasikia lolote.

Kibajaj hajafanya maendeleo yeyote ya maana kule Mtera na watu wengi wanaliwania jimbo lile hivyo ili kupata njia ya kutokea inabidi lawama zote za kushindwa kwake kuleta maendeleo azirushie kwa serikali ya mkwereeeee!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwamba CCM ni chama kikubwa (ki majukumu) na kikongwe (kiumri). Imesemwa, tusisahau kuwa ukubwa ni jalala. Hivyo, tutarajie CCM inakuwa jalala la uchafu wa namna yote.
 
Mbunge wa Mtera kwa tiketi ya CCM,Livingstone Lusinde aka Kibajaji ameivua nguo Serikali ya CCM. Akihutubia mbele ya Katibu Mkuu Kinana jimboni kwake Mtera,Lusinde amesema wananchi wamechoka kudanganywa. Amesema Serikali imezoea kuwadanganya wananchi juu ya mambo ya maendeleo huku Rais akiagiza michango ya lazima ya maabara.

Lusinde alitangaza na kuwataka wananchi wa Mtera kugomea agizo la Rais Kikwete juu ya michango ya maabara. "Ametamba alivyotaka mbele ya Kinana na Kinana hakumjibu wala kuweka mambo sawa. Amesema kuwa Serikali inadanganya watu. Hakika ameonesha jinsi CCM ilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake" alisema shuhuda toka Mtera.

Katibu mkuu Kinana umebariki haya ya Lusinde?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Miaka mitano ya Ubunge wake alikuwa akiimba wimbo wa serikali sikivu ya ccm inafanya kazi nzuri, sasa anakumbuka blanketi wakati kumekucha. Siasa za danganya toto kwa kuwa uchaguzi umefika. Yeye aandae kofia za kijani na T-sheti awagawie watu wake wampe kula tena kwa miaka mingine mitano lakini maendeleo hakuna.
 
Back
Top Bottom