Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,047 Reaction score 74,768 Sep 3, 2015 #21 Capt Tamar said: Kwa lodilofa ni kwa kipande gani kwa hapo? Si naskia anaishi huko? Malofa sisi kumbf setu. Click to expand... Sehemu moja inaitwa Mkuzi, pako poa sana mandhari kama Uswisi. Majirani zake wakijua kuwa kawaita malofa patachimbika.
Capt Tamar said: Kwa lodilofa ni kwa kipande gani kwa hapo? Si naskia anaishi huko? Malofa sisi kumbf setu. Click to expand... Sehemu moja inaitwa Mkuzi, pako poa sana mandhari kama Uswisi. Majirani zake wakijua kuwa kawaita malofa patachimbika.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 3, 2015 #22 leipzig said: Umasikini bwana,hayo ni mabati au vigae? Click to expand... Acha kuponda wewe
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,371 Reaction score 111,682 Sep 3, 2015 #23 Ngome kongwe ya Mjerumani hiyo...