Lusekelo anakata tawi alilokalia?

Mods naona mngebadili kichwa cha hii habari. Lusekelo hakati tawi alilokalia bali anatimiza kile ambacho alifundishwa na kuamini kwamba haki inatendeka katika nyanja ya habari, pia onyo kubwa kwa Mafisadi yeyote atakayemdhuru tutapambana naye. Adam endeleza libeneke hadi pale tutakapoweza kuikomboa Tanzania iliyovamiwa na Mafisadi.
 
Tofauti ya mawazo huzaa wazo jengefu au wazo imara. Hii itatokea tu kama wote tunabisha kwa hoja na si kwa kufuata mkumbo.

Ujenzi wa taifa imarai ni kazi kubwa kuliko kuimarisha taifa imara. Baada ya ujenzi wa taifa imara waliofuatia wangetusaidia kuimarisha taifa imara na sasa tungekuwa imara zaidi kuliko wakati wa Mwalimi Nyerere.

Wengi tunaangalia na kulalamikia mapungufu ya mwalimu, sidhani kama ni wakati muafaka. Tungetumia muda huo kurekebisha haya ambayo yanalitoa taifa letu katika uimara wake. Leo hii viongozi wetu wanauongea ukabila waziwazi, udini waziwazi, ufisadi waziwazi. na ukijitokeza kama mpingaji wa ufisadi na wewe unatafutiwa ufisadi wako hata kama ni wa uwongo ilimradi usiongee tena.

Taifa imara linapatwa na ulegevu kutokana na Viongozi walegevu kujipenyeza madarakani.
 
I last met him when we were buying bread at Shoppers Plaza some months back.....as usual very humourous...I will miss him immensly:rip:
 
RIP Lusekelo..kweli kizuri hakidumu..utakumbukwa daima katika tasnia ya Habari Tanzania........
 
Sina uhakika kama hayo aliyaandika lusekelo anamaanisha.
Koz the same paper imekuwa ikipotosha hoja na kudakia mambo yasiyo na tija kwa taifa linalohitaji maendeleo siyo propaganda kama wanavyofanya siku zote.
kama yanatoka moyoni heko
 
Sina uhakika kama hayo aliyaandika lusekelo anamaanisha.
Koz the same paper imekuwa ikipotosha hoja na kudakia mambo yasiyo na tija kwa taifa linalohitaji maendeleo siyo propaganda kama wanavyofanya siku zote.
kama yanatoka moyoni heko
Sina hakika kama umesoma hiyo article ukaielewa na zaidi ya hilo sina hakika kama unajua y hiyo article is re-posted 2day. R.I.P Adam.
 
Back
Top Bottom