Kwa Africa naweza kusema ndo the leading aka number one celebrity anayefanya vizuri si tu kwenye filamu hadi kwenye fashion bidada ni nouma, kashafanya kazi za matangazo na makampuni kibao uko USA.
I wish FLAVIANA MATATA could do the same, sababu sioni ambacho lupita anacho ambacho Dada yetu Flaviana hana, ukizingatia wote wana muonekano sawa, wana access ya kukutana na watu maarufu duniani na wote wametokea East Africa.
hapo kwenye blue you are very wrong, Flaviana Matata ni Mtanzania (african) Lupita Nyong'o ni Mmexico. and once you are mexican, American or Canadian you can swim easily in America kwa sababu ya Free Trade Area - NAFTA
soma hapa kuhusu Lupita: Lupita Nyong'o - Wikipedia, the free encyclopedia
Is she Mexican?
Nilitaka kuweka wasifu wake kwa kifupi ila thanks to alma gemela amenisaidia. Tofauti iliyopo hapo ni simple. Lupita amefanikiwa kupata umaarufu via movie ya 12 years a slave kwa kiasi kikubwa sana ambacho kitamchukua Flaviana more than a decade kuja kumpata. Mind you kwamba tayari ana career in acting which was obtained through her studies in Yale. At least she played important role in lifting movie industry in her country KE. Her role in Shuga as explained above, she also directed one of the finest documentary movie about albino and challenges they face in KE.
So speaking about competitive edge yes she has one and a great too.
She has managed to scoop many deals in other movies. Usishangae kusikia Tyler Perry akamuita kufanya nae kazi. Kuna movie ameshacheza na Liam Neeson mzee wa TAKEN. We endelea kusubiri uone nini anafanya. One movie in Hollywood is enough to put you on a map and change everything your life has ever thought of impossible. Thanks to Steve McQueen the man behind the chair 12 years a slave.
hapo kwenye blue you are very wrong, Flaviana Matata ni Mtanzania (african) Lupita Nyong'o ni Mmexico. and once you are mexican, American or Canadian you can swim easily in America kwa sababu ya Free Trade Area - NAFTA
soma hapa kuhusu Lupita: Lupita Nyong'o - Wikipedia, the free encyclopedia
kwani Level ya Elimu ya Flavvy ikoje!!!!!!!!
Diploma ya Ufundi Umeme ..................Flavy amesomea diploma ya ufundi umeme(dip.of electronic eng.) chuo cha arusha tech. College.
Lupita kwa sasa yuko mbali sana na she's on a league of her own. Ameshamuacha Flavian kwa mbali sana tena sana.
Kweli kaka they ain't even playing the same game anymore
Mbona tayari ameshamzidi na kumuacha kwa mbali sanaShe can do that also, once I compared flavy with lupita, kuna vitu wanafanana though lupita anaweza kumzid flavy, they are both from Africa,
Wasanii wakiambiwa wasome....Wanatoa mifano ya mazoea.....Lupita anaweza kujibeba zaidi ya Flavvy sababu anatumia Kipaji,Elimu Na 'color' yake hollywood...Flavvy is using her sexy appeal....
Note the difference.
Is Flavvy sexy?
Flavy amesomea diploma ya ufundi umeme(dip.of electronic eng.) chuo cha arusha tech. College.