Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Jul 14, 2012 #1 Msela kaingia lupango, kufika tu wahuni wakamkaribisha mwali mwali mwali akaona hapa ataolewa mtu leo, wakamuuliza kosa alilofanya akajibu ameua watu wengi sana,jioni akaja kuwekewa dhamana na ndugu zake askari kaja kumuita we ulieiba dafu njoo hapa jamaa akaenda watu ayaaaaaaaaaaaaa!
Msela kaingia lupango, kufika tu wahuni wakamkaribisha mwali mwali mwali akaona hapa ataolewa mtu leo, wakamuuliza kosa alilofanya akajibu ameua watu wengi sana,jioni akaja kuwekewa dhamana na ndugu zake askari kaja kumuita we ulieiba dafu njoo hapa jamaa akaenda watu ayaaaaaaaaaaaaa!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jul 15, 2012 #2 Dah! Jamaa kaumbuka ile mbaya, ila maujanja yamemsaidia la sivyo kabla hatoka wangemmega kiboga mpaka basi
Dah! Jamaa kaumbuka ile mbaya, ila maujanja yamemsaidia la sivyo kabla hatoka wangemmega kiboga mpaka basi