Luninga hupoteza nguvu za kiume

Luninga hupoteza nguvu za kiume

sijaelewa vizuri ni kupoteza nguvu za kiume au kupunguza mbegu za kiume. maana hivi ni vitu viwili tofauti
 
mh .... hizi tafiti Mi'hata sielewi....
 
Upuuzi tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii habari inatuweka majaribuni, sie wengine wapenzi wa kabumbu na hukaa sana masaa zaidi ya hayo. Namtafuta mwanasheria wangu hawa jamaa ni kuwaburuza kortini!
Unawashtaki watafiti au TV yako?
 
Back
Top Bottom