C chikambabatu JF-Expert Member Dec 29, 2015 1,334 1,318 Nov 25, 2021 #61 Kesi iishe akachukue fomu, nae apendelee kaskz, maana ndio mpango mzima, mtu kwao, sasa sitashangaa tena!
Kesi iishe akachukue fomu, nae apendelee kaskz, maana ndio mpango mzima, mtu kwao, sasa sitashangaa tena!
Ibambasi JF-Expert Member Jul 25, 2007 9,277 4,683 Nov 25, 2021 #62 Pythagoras said: Na wewe ni Bavicha😅😅 Click to expand... Mi mtazamaji
N nyakubonga JF-Expert Member Apr 5, 2015 4,602 7,175 Nov 25, 2021 #63 pilipili kichaa said: Kwa mujibu wa wenye akili na uelewa, ila kwa wenye akili 'duni' ni ngumu kujua hili. Click to expand... Wenye akili na uelewa ni wepi? na unawatambuaje? au tunawatambua kwa kuamini Mbowe ana supporters na si Slaves?
pilipili kichaa said: Kwa mujibu wa wenye akili na uelewa, ila kwa wenye akili 'duni' ni ngumu kujua hili. Click to expand... Wenye akili na uelewa ni wepi? na unawatambuaje? au tunawatambua kwa kuamini Mbowe ana supporters na si Slaves?
N nyakubonga JF-Expert Member Apr 5, 2015 4,602 7,175 Nov 25, 2021 #64 kirengased said: Pole kijana mdogo wewe katika yooote akiliyako imefanikiwa kuona hapo tuu!!! Nikusaidie tu kdogo,popote duniani * Charity begins at home. Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(origin). Click to expand... Kwa mujibu wako, ungependa Mbowe asapotiwe na wachaga kwanza, sio? Zitto na waha? Lipumba na wanyamwezi? Samia na wapemba? Na wakienda kinyume nao ni usaliti?
kirengased said: Pole kijana mdogo wewe katika yooote akiliyako imefanikiwa kuona hapo tuu!!! Nikusaidie tu kdogo,popote duniani * Charity begins at home. Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(origin). Click to expand... Kwa mujibu wako, ungependa Mbowe asapotiwe na wachaga kwanza, sio? Zitto na waha? Lipumba na wanyamwezi? Samia na wapemba? Na wakienda kinyume nao ni usaliti?
kirengased JF-Expert Member Jan 10, 2016 6,005 6,664 Nov 25, 2021 #66 nyakubonga said: Kwa mujibu wako, ungependa Mbowe asapotiwe na wachaga kwanza, sio? Zitto na waha? Lipumba na wanyamwezi? Samia na wapemba? Na wakienda kinyume nao ni usaliti? Click to expand... Tumia akili vizuri utanielewa
nyakubonga said: Kwa mujibu wako, ungependa Mbowe asapotiwe na wachaga kwanza, sio? Zitto na waha? Lipumba na wanyamwezi? Samia na wapemba? Na wakienda kinyume nao ni usaliti? Click to expand... Tumia akili vizuri utanielewa
N nyakubonga JF-Expert Member Apr 5, 2015 4,602 7,175 Nov 25, 2021 #67 kirengased said: Tumia akili vizuri utanielewa Click to expand... Charity begins at home. Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(orig Elezea hiki kifungu.
kirengased said: Tumia akili vizuri utanielewa Click to expand... Charity begins at home. Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(orig Elezea hiki kifungu.
kirengased JF-Expert Member Jan 10, 2016 6,005 6,664 Nov 25, 2021 #68 nyakubonga said: Charity begins at home. Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(orig Elezea hiki kifungu. Click to expand... Kawaulize wazee wa uamsho wa zenji kwanini wameachiwa kwa kesi yao ya ugaidi awamu ya sita yamzenji alafu urudi nahiki kiswali chako!!
nyakubonga said: Charity begins at home. Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(orig Elezea hiki kifungu. Click to expand... Kawaulize wazee wa uamsho wa zenji kwanini wameachiwa kwa kesi yao ya ugaidi awamu ya sita yamzenji alafu urudi nahiki kiswali chako!!
N nyakubonga JF-Expert Member Apr 5, 2015 4,602 7,175 Nov 25, 2021 #69 kirengased said: Kawaulize wazee wa uamsho wa zenji kwanini wameachiwa kwa kesi yao ya ugaidi awamu ya sita yamzenji alafu urudi nahiki kiswali chako!! Click to expand... Tuachane kwanza na tunachojadili ili niende kuwauliza wazenji?
kirengased said: Kawaulize wazee wa uamsho wa zenji kwanini wameachiwa kwa kesi yao ya ugaidi awamu ya sita yamzenji alafu urudi nahiki kiswali chako!! Click to expand... Tuachane kwanza na tunachojadili ili niende kuwauliza wazenji?