Lundo la Watu lamshangilia Freeman Mbowe Mahakamani , Neno Mwamba latawala

Kesi iishe akachukue fomu, nae apendelee kaskz, maana ndio mpango mzima, mtu kwao, sasa sitashangaa tena!
 
Pole kijana mdogo wewe katika yooote akiliyako imefanikiwa kuona hapo tuu!!!
Nikusaidie tu kdogo,popote duniani
* Charity begins at home.
Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(origin).
Kwa mujibu wako, ungependa Mbowe asapotiwe na wachaga kwanza, sio?

Zitto na waha?

Lipumba na wanyamwezi?

Samia na wapemba?

Na wakienda kinyume nao ni usaliti?
 
Charity begins at home.
Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(orig

Elezea hiki kifungu.
Kawaulize wazee wa uamsho wa zenji kwanini wameachiwa kwa kesi yao ya ugaidi awamu ya sita yamzenji alafu urudi nahiki kiswali chako!!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom