donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee .... Nashukuru sana .... Hauna moja ambayo upo na maji ya kilimanjaro.... Huyu demu anaamin mi nna hela sanaaaa.... Kumbe mm bwana.... Mbahili sana .... Msos wa 3500 tuu
Mdudu haongopi mkuuushanitamanisha mkuu...ngoja nifanye mpango kesho nisuuze roho kwa 'mdudu'
TawireKatika ubora wako mwili haujengwi kwa matofali
Chek huyu mkuu daah we jamaa nakuheshmu .... Mtu yeyte akikuzngua humu jf nshtue ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha kweli hapo mkuu nimekubali..Chek huyu mkuu daah we jamaa nakuheshmu .... Mtu yeyte akikuzngua humu jf nshtue ... View attachment 866493
Hyo ya monie hahahahah ...Hahaha kweli hapo mkuu nimekubali..View attachment 866499
hakika mdudu ndio mambo yote mkuuMdudu haongopi mkuu
umepatia sana kiongozi huu mzigo inafaa ndimu ziwe bwerereHahaha kweli hapo mkuu nimekubali..View attachment 866499
hahahahahah dah!Chek huyu mkuu daah we jamaa nakuheshmu .... Mtu yeyte akikuzngua humu jf nshtue ... View attachment 866493
mm na masihara tu mkuu hahaha hujanzoea kwanhahahahahah dah!
kumbe ulituma kweli mkuu..
nakujua vyema mkuu....wala usiwazemm na masihara tu mkuu hahaha hujanzoea kwan
Hahah huyo mdada nlkua namtania ... Tu na anajua ... Napenda kumtania ... Ila kuna mmoja kila siku nkawa naweka misos ya jamaa status ... Demu ... Akajua dah.... Maskin ... Nilimpikia matembele maskininakujua vyema mkuu....wala usiwaze
Nkamwambia leo nipo diet ...nakujua vyema mkuu....wala usiwaze
Hivyo wasema weweInaonesha unahusudu sana ile kitu
HahahahHyo ya monie hahahahah ...
Hahah, jamaa halembi mwandikohahahahahah dah!
kumbe ulituma kweli mkuu..
Kweli kiongozi ndimu za kuventeumepatia sana kiongozi huu mzigo inafaa ndimu ziwe bwerere
Yes mkuu, jiko la kuleee chini karibu na car washTriple B ya Goba?