Naomba wale wote ambao wanamwabudu Mungu wa kweli na kupumzika siku ya saba ya juma ambayo ni sabato, achia namba yako hapa au inbox ili tutengeneze whatsapp group tuelekezane zaidi.
zingatia kwamba uzi huu ni maalumu kwa ajili ya wasabato wa siku ya saba, Sio JuMamosi zingatia. Simaanishi wasabato wa jumamosi na wengineo bali ni wale wanaofuata kalenda ya wayahudi wale wa zamani yaani waebrania wa zamani.
karibuni sana , nitaweka namba zenu pembeni ili nitengeneze group tumwabudu Mungu kwa pamoja na kupeana changamoto.