LUMUMBA: Mjinga ni mzingo wa kuni mbichi.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
NCHI HII HINAWEZA KUFANYA HATA KAMA BADO KIJANA HUKATE TAMAA YA MAISHA JAPOKUWA UMRI UNARUHUSU KUPAMBANA NA MAISHA.....

1. Nchi matamko.

2. Nchi katiba mbovu.

3. Nchi hakuna ajira.

4. Nchi omba omba.

5. Nchi kila mtu ana pembe.
 
Sahihisha maneno kwenye uzi wako, unaleta taabu kwenye Lugha
Hinaweza -inaweza
Hukate - ukate
 
Back
Top Bottom